Pongezi kwa Raia Mwema (Mtoa Taarifa) na Mkuu wa Mkoa wa Tabora

hongera mama
 
Sawa Mama jumapili njema pia
 
Na kweli kabisa. Acha niendelee kudumu kwenye kuongozwa na Imani tu, mambo ya wanadamu wenye mwili, walio wengi ni mtihani [emoji3]
Wengine ni chuki binafsi tu, wengine wanastress wanakuja kuzimalizia kwa wengine na wengine ni nature kila kitu wanakosoa hata huko majumbani kwao ndivyo walivyo.
 
Na kweli kabisa. Acha niendelee kudumu kwenye kuongozwa na Imani tu, mambo ya wanadamu wenye mwili, walio wengi ni mtihani ๐Ÿ˜€
Tutakutoa machozi na uchovu mkubwa tunaokupa usiku na mchana, kwa kukuchukulia fomu.
 
Chacha tunampongeza kivipi? Yaani anapongezwa mtu kwa kutimiza wajibu wake, tena kwa issue kama hiyo ambayo ilitakiwa imalizwe na trafiki tu
Kwamba alitoka Tabora kwenda Nzega(km 120) kwa ajili hiyo au issue ilimkuta akiwa Nzega?
Punguza wivu wa kike.
 
Chacha tunampongeza kivipi? Yaani anapongezwa mtu kwa kutimiza wajibu wake, tena kwa issue kama hiyo ambayo ilitakiwa imalizwe na trafiki tu
Kwamba alitoka Tabora kwenda Nzega(km 120) kwa ajili hiyo au issue ilimkuta akiwa Nzega?
Value for Money!
 
Siyo Raia wema wote Wana access namba za wakuu wa wilaya, mikoa au hata polisi. Hivyo iwepo namba maalumu itakoyotumiwa na watanzania wote kuripoti matukio ya kiharifu na mengineyo yaliyo kinyume na maadili au yenye kutia shaka.

But all in all nikupongeze Mh. D.G, Kwa Kwa jinsi ulivyo sensitive katika ufuatiliaji na kuchukua hatua.
 
Nakupongeza sana Mh waziri, Dr. D, kwa kujali na kuchukua hatua stahiki tena kwa wakati.
Baadhi ya mawaziri na viongozi waige mfano wako siyo kuzoea kupata taarfa kutoka tu kwenye namba walizosevu kwenye simu, wanapopata taarfa wanapaswa kufuatilia kujiridhisha uhalisia wake na kuchukua hatua.
 
Mh. Waziri hizi zingine unajibizana nazo ni takataka hizi!
 
WITO KWA WAHUDUMU WA USAFIRI; kuwa makini na abiria hususan watoto wadogo wanaopakizwa kwa maelekezo kuwa huko waendako watapokelewa na mtu fulani kwani, tunaishi kwenye nyakati ambazo watoto ni wahanga wakubwa wa ukatili mbalimbali ikiwemo kutoroshwa na kwenda kutumikishwa kinyume na umri wao.๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Kiongozi namba zipo, shida ni wahusika kufuatilia na kuchukua hatua.
 
Hongera sana Mheshimiwa.huna makuu wala baya na mtu.wewe ni kazi tu. Kagombee ubunge Mwakani tuje kukupigia kampeni bure kabisa .
 
Mh. Waziri hizi zingine unajibizana nazo ni takataka hizi!
Siyo takataka, wananchi wengi sana hawajui itifaki za kiutumishi so Waziri amefanya sawa kumpa elimu kiduchu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hongera sana Dkt. Gwajima D. Ingekuwa ni kwa matakwa yangu ulifaa sana kwenye Wizara ya Afya najua umebobea kwenye 'health management'. Ulifanya vyema kipindi cha hayati Magu na ziara zako watu walikuwa wahalali kuweka mambo sawa.​
Yeah, nafasi ya uwaziri wa afya unamfaa sana huyu mama, Siyo yale mauza mauza yaliyowekwa pale kwa sasa..
 
Issue ndogo saana hiyo, ilifaa kumalizwa na trafiki huko barabarani... Mnakaa mnasifiaaana, mnapeana pongezi, utafikiri labda mmezuia kitu gani labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ