Ni kweli.hilo kundi la kwanza ndo wahanga wakuu.wanapata wakati mgumu sana.

Na pia hata kama kaendekeza ngono.its OK..umegundua baada ya yeye kuzaa mimba ndo imekua proof ya kumsimanga.

Muachieni Mungu ahukumu.wanaume wazinzi sana ila bahati Hanna proof.na mimba mnazikimbia.
 
Kabla mpira haujaanza team moja tayari imepewa goal. FIFA Tunaomba Muangalie Kama Kuna Fair Play Hapa
 
Mkiwa mnawasema msiwaache wanaume walowapachika..maana kama umalaya wameshirirki kwa pamoja
 
Sawa Single Mama
 
Ubebe mimba uliolewa?
 
Unakubali vipi kummwagia mbegu zako mwanamke ilhali hujamuoa na wala huna mpango wa kumuoa?
Condm hamzijui?

Mwanaume pia anawajibika katika kupanga uzazi,ana maamuzi pia mimba au isitunge kulinda uzao wake kwa mtu sahihi mbegu zake

Issue sio mwanaume kukataa utakubali vipi kubeba mimba wakati haujaolewa. Sijui umenisoma?
 
Umesikika kunako alafu utakuta anaesema hivyo bado yupo kwao toka enzi za story ya utamu wa mua uliozamisha meli
 
tatizo wanaongea sana unakuta mtu kazaa kwa mapenzi yake anamaliza anakuja anaanza kurusha maneno yasiyo na maana mara wanaume siku hizi wamepungua mara hawawatunzi watoto wao na huku ni mpuuzi mwenzio huko mmefanya ya kuyafanya sasa unaanza kumalizia hasira kwa wengine.

Ni week jana tuu kuna mwingine alikua anatokwa povu humu humu jf anasema nanukuu'' hata kama ukiniacha ntapata mwanaume atanioa na kunibembeleza'' sasa wewe unaemuambia ni nani halafu kama mmeachana kaa tulia sio unaanza kutoa matambara kwa watu,..na wewe kama ungekaa kimya hakuna ambaye angejua wewe ni single mother ...halafu kiti kingine muwe mnajiandaa kwa yajayo sio unavulishwa chupi unjisahau.

mwisho wengi wenu sio waaminifu japo kuwa sio wote na ndio maana sio kwamba tunawaesngenya ila tunawaasa watu wanaoingia kwenye mahusiano ili baadaye asije kulaumu..ni kuelimishana..mwisho
 
Pole mwaya.mi bado sijazaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Umechamba kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…