In worst scenario, maamuzi yapi ni sahihi?I think ots high time tuache kuwasumbua hawa wanawake na kuwa objectify kisoro.
The reason ya mwanamke kutoa mimba au kua singo maza n sisi sisi wanaume amd here we are trying to see yupi n bora.
Tuanze kuacha unafki wa kuwabagua between the two na tuwe honest kuhakikisha hawapitii vitu kama hivi na dharau like this kwenye jamii.
Povu ruksa!
https://jamii.app/JFUserGuide worst case scenario hommie, staying with someone is a choice.In worst scenario, maamuzi yapi ni sahihi?
Umesema wanaume ndiyo tunasababisha aidha atoe ujauzito au alee peke yake, that being the case, ni yupi anaamua vizuri?JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala worst case scenario hommie, staying with someone is a choice.
We ukifika hapo angalia vipaumbele vyako vyooote then choose your poison.
Sidhani kama kua na mtu kwnye mahusiano au ndoa kunaongozwa na usingo maza au kutoa mimba.
Sijamuunga mkono yeyote hapo mkuu, nisome vizuri nimesema watu huwaoa kwasababu hawajui kama walitoa mimba.Hahaaaaaaa😂😂😂Msimamo wa kuona kaburi ulipitishwa na kikao rasmi, lakini nimejiuliza hili swali. Je tumhukumu single mother kwa sababu aliamua kuzaa na kumuunga mkono anayetoa mimba ili akufurahishe?
Kuepusha yote haya?? 😂😂😂Let's go back to the basics, tuoe SEALED!
Well saidSijamuunga mkono yeyote hapo mkuu, nisome vizuri nimesema watu huwaoa kwasababu hawajui kama walitoa mimba.
Singo maza hahukumiwi kwakua ana mtoto lahasha bali ni mienendo yao baada ya kua nao ndo tatizo na ndo wanaume tunahofia hilo tu.
Dhambi ya kutoa mimba itamihusu yeye na Mungu wake. Nachoangalia ni kwamba yeye hana mtoto wa mwanaume mwingine basiHata utakapothibitisha kuwa katoa ujauzito? [emoji2]
Ukithibitisha kuwa katoa Mimba utaendelea na msimamo huu?Dhambi ya kutoa mimba itamihusu yeye na Mungu wake. Nachoangalia ni kwamba yeye hana mtoto wa mwanaume mwingine basi
It is a 2 way street. Wewe kama mwanaume n jukum lako kuhakikisha mwanamke hapati ujauzito if hauko tayari kuwa nae. Ndo maana kuna mipira.Umesema wanaume ndiyo tunasababisha aidha atoe ujauzito au alee peke yake, that being the case, ni yupi anaamua vizuri?
Umesema vizuri lakini hata mipira hupasuka, iwapo hamkuwa tayari kupata mtoto nini kifanyike, atoe ujauzito au alee peke yake?It is a 2 way street. Wewe kama mwanaume n jukum lako kuhakikisha mwanamke hapati ujauzito if hauko tayari kuwa nae. Ndo maana kuna mipira. Pia unaruhusiwa kuuliza kuhusu mzunguko wake kujua kama n siku za hatari. Pia kwa mwanamke n jukum lake kujua siku zake zmekaaje.
Lakn jamii imezoea kumuangushia zigo mwanamke
Ndiyo kwanini nimhukumu wakati kazi ya kuhukumu ni ya Mungu.Ukithibitisha kuwa katoa Mimba utaendelea na msimamo huu?
Umesema vizuri lakini hata mipira hupasuka, iwapo hamkuwa tayari kupata mtoto nini kifanyike, atoe ujauzito au alee peke yake?
Niite msemaji wa kikao chetu cha wanaume atoe tamko!Ndiyo kwanini nimhukumu wakati kazi ya kuhukumu ni ya Mungu.
Tuanze na wewe! Utachagua yupi then sisi ndiyo tutakupa yetuJe utachagua single mother au aliyetoa mimba?
wapo wanaotoa mimba wakiamini haujafika muda sahihi wa kupata watoto, na wapo wanaovumilia na kujifungua na baadaye kuitwa single mothers.
Utaoa yupi? Kwa ladies utachagua kundi lipi, Single mother au utatoa mimba?
Mguu Bangida tumekuwa tukiwalaumu sana masingle mothers, wanaonekana kana kwamba wana kesi ya kujibu, ilhali kila mmoja ana mapito yake yaliyompelekea kuwa kama alivyo.This is a risk u know and take unapoenda kufanya mapenzi na mtu.
Problem ya wabongo wengi ni kutokua na accountability kwenye matendo yao.
Kama hauez kabisa kuchukua hii risk, basi usifanye mapenz kbsa hadi utakapokua tayari kuwa baba maana kutiana sio lazma, bali ni upendeleo wa mtu binafsi.
Au let me ask u this Girland , if binti yako angekua kwenye this situation, wewe ungemshauri nini?
😂😂😂😂Mkuu funguka tafadhaliTuanze na wewe! Utachagua yupi then sisi ndiyo tutakupa yetu
Hahaaaa, 😂😂😂kwahiyo hawezi kupindua?Shida ya singo Maza ni kuhusu Mzazi mwenziye..
Ahsante sana kwa muafaka wako.Mguu Bangida tumekuwa tukiwalaumu sana masingle mothers, wanaonekana kana kwamba wana kesi ya kujibu, ilhali kila mmoja ana mapito yake yaliyompelekea kuwa kama alivyo.
Kama binti yangu akiwa kwenye situation hiyo nitamshauri azae tu!🙏