Pongezi kwenu Single Mothers
I think ots high time tuache kuwasumbua hawa wanawake na kuwa objectify kisoro.
The reason ya mwanamke kutoa mimba au kua singo maza n sisi sisi wanaume amd here we are trying to see yupi n bora.
Tuanze kuacha unafki wa kuwabagua between the two na tuwe honest kuhakikisha hawapitii vitu kama hivi na dharau like this kwenye jamii.
Povu ruksa!
In worst scenario, maamuzi yapi ni sahihi?
 
In worst scenario, maamuzi yapi ni sahihi?
https://jamii.app/JFUserGuide worst case scenario hommie, staying with someone is a choice.
We ukifika hapo angalia vipaumbele vyako vyooote then choose your poison.

Sidhani kama kua na mtu kwnye mahusiano au ndoa kunaongozwa na usingo maza au kutoa mimba.
 
Hahaaaaaaa😂😂😂Msimamo wa kuona kaburi ulipitishwa na kikao rasmi, lakini nimejiuliza hili swali. Je tumhukumu single mother kwa sababu aliamua kuzaa na kumuunga mkono anayetoa mimba ili akufurahishe?
Sijamuunga mkono yeyote hapo mkuu, nisome vizuri nimesema watu huwaoa kwasababu hawajui kama walitoa mimba.

Singo maza hahukumiwi kwakua ana mtoto lahasha bali ni mienendo yao baada ya kua nao ndo tatizo na ndo wanaume tunahofia hilo tu.
 
Well said
 
Umesema wanaume ndiyo tunasababisha aidha atoe ujauzito au alee peke yake, that being the case, ni yupi anaamua vizuri?
It is a 2 way street. Wewe kama mwanaume n jukum lako kuhakikisha mwanamke hapati ujauzito if hauko tayari kuwa nae. Ndo maana kuna mipira.

Pia unaruhusiwa kuuliza kuhusu mzunguko wake kujua kama n siku za hatari. Pia kwa mwanamke n jukum lake kujua siku zake zmekaaje.
Lakn jamii imezoea kumuangushia zigo mwanamke
 
It is a 2 way street. Wewe kama mwanaume n jukum lako kuhakikisha mwanamke hapati ujauzito if hauko tayari kuwa nae. Ndo maana kuna mipira. Pia unaruhusiwa kuuliza kuhusu mzunguko wake kujua kama n siku za hatari. Pia kwa mwanamke n jukum lake kujua siku zake zmekaaje.
Lakn jamii imezoea kumuangushia zigo mwanamke
Umesema vizuri lakini hata mipira hupasuka, iwapo hamkuwa tayari kupata mtoto nini kifanyike, atoe ujauzito au alee peke yake?
 
Umesema vizuri lakini hata mipira hupasuka, iwapo hamkuwa tayari kupata mtoto nini kifanyike, atoe ujauzito au alee peke yake?

This is a risk u know and take unapoenda kufanya mapenzi na mtu.
Problem ya wabongo wengi ni kutokua na accountability kwenye matendo yao.

Kama hauez kabisa kuchukua hii risk, basi usifanye mapenz kbsa hadi utakapokua tayari kuwa baba maana kutiana sio lazma, bali ni upendeleo wa mtu binafsi.

Au let me ask u this Girland , if binti yako angekua kwenye this situation, wewe ungemshauri nini?
 
Je utachagua single mother au aliyetoa mimba?
wapo wanaotoa mimba wakiamini haujafika muda sahihi wa kupata watoto, na wapo wanaovumilia na kujifungua na baadaye kuitwa single mothers.

Utaoa yupi? Kwa ladies utachagua kundi lipi, Single mother au utatoa mimba?
Tuanze na wewe! Utachagua yupi then sisi ndiyo tutakupa yetu
 
This is a risk u know and take unapoenda kufanya mapenzi na mtu.
Problem ya wabongo wengi ni kutokua na accountability kwenye matendo yao.
Kama hauez kabisa kuchukua hii risk, basi usifanye mapenz kbsa hadi utakapokua tayari kuwa baba maana kutiana sio lazma, bali ni upendeleo wa mtu binafsi.
Au let me ask u this Girland , if binti yako angekua kwenye this situation, wewe ungemshauri nini?
Mguu Bangida tumekuwa tukiwalaumu sana masingle mothers, wanaonekana kana kwamba wana kesi ya kujibu, ilhali kila mmoja ana mapito yake yaliyompelekea kuwa kama alivyo.

Kama binti yangu akiwa kwenye situation hiyo nitamshauri azae tu!🙏
 
Ahsante sana kwa muafaka wako.
So kwa ushauri huo it means binti yako atakua singo maza (kwa mfano tu sio dhahiri🤣🤣🤣).

Now piga picha anakuja kijana anaanza kumkataa jus because ni singo maza, how would u feel ilhali unajua kbsa hakupenda kua singo maza bali ni circumstances?
Hapo ndo unaona kama binadam tunaeka double standards sana kwenye haya mambo.

Tungekua fair, bas hata huyo mwanaume asietaka singomaza na yeye pia angetakiwa kua bikra
 
Back
Top Bottom