Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu wa 10 wa Jumuiya hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Novemba, 2022.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT Taifa
MARY CHATANDA MWENYWKITI MPYA UWT TAIFA,