PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

Hao wanaolalamika udini wao wenyewe ndio WADINI, wakabila na wabaguzi wasio wakweli na waliojawa na unafiki wa kunuka.

Magufuli ali Fanta chaguzi za upande mmoja tena uapendao. Aliwapendelea watu wa ukanda Mmoja na Wakristo wa Madhehebu ya Kikatoliki peke, huku akiwatenga KKT na madhehebu zinginezo, Mbona hamkusema lolote wakati huo.
 
Mambo ya Kipuuzi kujadili dini ningekuwa Rais nafanya Kama Korea Kaskazini , dini zenyewe zimejaa utapeli tu

Eti Unauziwa kitambaa na Maji sh 50,000
Kwamba unauziwa Ch*pi 650,000 ndo upate mimba ?

Upuuzi eti kukanyaga Mafuta
Elimu na maarifa unayodhani unayo kukufanya uandike huu ujinga mbele za Mungu ni UPUMBAVU..una upumbavu kichwani vema unyamaze vile sasa unafahamu upumbavu wako..ongelea yale akili yako inayafahamu, lakini ya Mungu mwachie Yeye na wenye neema waliojaliwa kuyafahamu au omba neema ujaliwe kuyafahamu pia.
 
Lazima wewe ni kati ya walokole wapumbavu
 
Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya

View attachment 2430845
Marry Chatanda kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania amehonga au kutoa rushwa ya zaidi ya Tsh 300,000,000.

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 mwanaccm kama huna fedha za kuhonga usidhubutu kugusa fomu ya kuomba kugombea ubunge au udiwani
 
Back
Top Bottom