MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Huyu mama hatakaa asahaulike na CHADEMA Arusha. Aliwanyoosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu na maarifa unayodhani unayo kukufanya uandike huu ujinga mbele za Mungu ni UPUMBAVU..una upumbavu kichwani vema unyamaze vile sasa unafahamu upumbavu wako..ongelea yale akili yako inayafahamu, lakini ya Mungu mwachie Yeye na wenye neema waliojaliwa kuyafahamu au omba neema ujaliwe kuyafahamu pia.Mambo ya Kipuuzi kujadili dini ningekuwa Rais nafanya Kama Korea Kaskazini , dini zenyewe zimejaa utapeli tu
Eti Unauziwa kitambaa na Maji sh 50,000
Kwamba unauziwa Ch*pi 650,000 ndo upate mimba ?
Upuuzi eti kukanyaga Mafuta
Elimu na maarifa unayodhani unayo kukufanya uandike huu ujinga mbele za Mungu ni UPUMBAVU..una upumbavu kichwani vema unyamaze vile sasa unafahamu upumbavu wako..ongelea yale akili yako inayafahamu, lakini ya Mungu mwachie Yeye na wenye neema waliojaliwa kuyafahamu au omba neema ujaliwe kuyafahamu pia.
HAKUNA KURA KATEULIWAYeyote aliechaguliwa Kwa Kura ni haki na halali yake....wanaosema udini hawajui maana ya uchaguzi...
Udini unakuwepo kwenye teuzi sio uchaguzi...
Marry Chatanda kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania amehonga au kutoa rushwa ya zaidi ya Tsh 300,000,000.Uchaguzi wa Viongozi Wapya wa Jumuiya ya UWT Umekamilika ambapo Ndugu MARY PIUS CHATANDA ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya
View attachment 2430845
Hii si Shura ya maimamuVIPI HAPA?View attachment 2431092