Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Endelea kuzoom mkuu, sijaelewa mimi hii inahusu wanawake tu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuzoom mkuu, sijaelewa mimi hii inahusu wanawake tu au?
Aliomba kutetea kiti chake CCM Dar,akajikuta kapelekwa UWT kwenye ushindani mkubwa na mtandao hana.Mtandao wake ulikuwa localised Dar.Mama hana hizo Siasa, Alitaka akisaidie Chama ngazi ya Taifa
Tatizo liko wapi?
Hiyo ndio maana ya DemokrasiaAliomba kutetea kiti chake CCM Dar,akajikuta kapelekwa UWT kwenye ushindani mkubwa na mtandao hana.Mtandao wake ulikuwa localised Dar.
Naona mtandao unarudi kwa kasi ya 5G!!View attachment 2430020
RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu wa 10 wa Jumuiya hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Novemba, 2022.
View attachment 2430064View attachment 2430066
View attachment 2430030
View attachment 2430023
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT TaifaView attachment 2430025
MARY CHATANDA MWENYWKITI MPYA UWT TAIFA,
View attachment 2430026
Mary Chatanda alitumika kupiga kura ya mamluki kwenye baraza la madiwani Arusha kumchagua Meya hakua na impact yoyote huyo mtu mzima kisheti.Huchui Mary Chatanda alichowafanya CHADEMA kweli Arusha Au unacomment usichokijua?
Mtaelewa nguvu ya Mary vizuri,Mary Chatanda alitumika kupiga kura ya mamluki kwenye baraza la madiwani Arusha kumchagua Meya hakua na impact yoyote huyo mtu mzima kisheti.
Alikua diwani wa mchongo kwa nguvu ya dola haya kingine kipi?
Ameacha kugawa hovyo?Mtaelewa nguvu ya Mary vizuri,
Atakua ndiye mleta mada, Kumradhi 😅Sijaelewa wakuu kwenye duara namna gani hapo?View attachment 2430084
Kugawa sio tatizo Ila tunahitaji mbinu zake ruAmeacha kugawa hovyo?
Mbona jina lake pia lilirudi mpaka hapa dar..na alishindwa dhidi ya mtemvuAliomba kutetea kiti chake CCM Dar,akajikuta kapelekwa UWT kwenye ushindani mkubwa na mtandao hana.Mtandao wake ulikuwa localised Dar.
Tufumue kashfa zake ?Huyu Mary Chatanda aliwanyoosha sana CHADEMA kule Arusha nadhani ndio maana wanawake wamekuwa na imani nae sana,
Hongera Sana CHATANDA, Yale uliyoyafanya Arusha yafanye Sasa Tanzania nzima,
Kaingia cha kikeSijaelewa wakuu kwenye duara namna gani hapo?View attachment 2430084
Tunaposema Akili ndogo ndio hizo UNASHABIKIA UOVU BADALA YA AMANI SABAYA MLIMSIFIA KWA MAOVU ALIYOKUWA ANAWAFANYIA WATU LEO YUPO WAPI?Huyu Mary Chatanda aliwanyoosha sana CHADEMA kule Arusha nadhani ndio maana wanawake wamekuwa na imani nae sana,
Hongera Sana CHATANDA, Yale uliyoyafanya Arusha yafanye Sasa Tanzania nzima,
Yaani CCM kushinda ni UOVU?Tunaposema Akili ndogo ndio hizo UNASHABIKIA UOVU BADALA YA AMANI SABAYA MLIMSIFIA KWA MAOVU ALIYOKUWA ANAWAFANYIA WATU LEO YUPO WAPI?
MAGUFULI MLIMSIFIA AKITESA WATU LEO YUPO WAPI HAKIKA MUNGU ni FUNDI
CCM ni chama cha kibwege sana ! inawezekanaje kukulipa mtu duni kama wewe ?Yaani CCM kushinda ni UOVU?
Yaani CCM kushinda ni UOVU?Tunaposema Akili ndogo ndio hizo UNASHABIKIA UOVU BADALA YA AMANI SABAYA MLIMSIFIA KWA MAOVU ALIYOKUWA ANAWAFANYIA WATU LEO YUPO WAPI?
MAGUFULI MLIMSIFIA AKITESA WATU LEO YUPO WAPI HAKIKA MUNGU ni FUNDI
Kuna wajumbe pia kutoka wanaumeEndelea kuzoom mkuu, sijaelewa mimi hii inahusu wanawake tu au?