PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

Naona mtandao unarudi kwa kasi ya 5G!!

Huku Mary Chatanda... kule Nazir Karamagi huko Christopher Mwita Gachuma na wengine wengi...

Samia ataweza kuidhibiti hii CCM?
 
Mary Chatanda alitumika kupiga kura ya mamluki kwenye baraza la madiwani Arusha kumchagua Meya hakua na impact yoyote huyo mtu mzima kisheti.

Alikua diwani wa mchongo kwa nguvu ya dola haya kingine kipi?
Mtaelewa nguvu ya Mary vizuri,
 
Aliomba kutetea kiti chake CCM Dar,akajikuta kapelekwa UWT kwenye ushindani mkubwa na mtandao hana.Mtandao wake ulikuwa localised Dar.
Mbona jina lake pia lilirudi mpaka hapa dar..na alishindwa dhidi ya mtemvu
 
Huyu Mary Chatanda aliwanyoosha sana CHADEMA kule Arusha nadhani ndio maana wanawake wamekuwa na imani nae sana,

Hongera Sana CHATANDA, Yale uliyoyafanya Arusha yafanye Sasa Tanzania nzima,
Tufumue kashfa zake ?
 
Huyu Mary Chatanda aliwanyoosha sana CHADEMA kule Arusha nadhani ndio maana wanawake wamekuwa na imani nae sana,

Hongera Sana CHATANDA, Yale uliyoyafanya Arusha yafanye Sasa Tanzania nzima,
Tunaposema Akili ndogo ndio hizo UNASHABIKIA UOVU BADALA YA AMANI SABAYA MLIMSIFIA KWA MAOVU ALIYOKUWA ANAWAFANYIA WATU LEO YUPO WAPI?
MAGUFULI MLIMSIFIA AKITESA WATU LEO YUPO WAPI HAKIKA MUNGU ni FUNDI
 
Yaani CCM kushinda ni UOVU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…