fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Pia mimi nina taarifa nyeti kutoka kwenye uongozi wa simba,na hii nimeyonywa na mtu wa ndani wa simba,kuwa kupa wa gwita gold ni simba pure na tayari kapokea mzigo ili aachie magoli 4 na kuna wachezaji 3 ambao watapewa huo mgao akiwemo senta back,sasa kama kuna mtu yupo karibu na uongozi wa geita gold awape huu ujumbeKocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na Shomary Kapombe.
Tafadhali nauomba Uongozi wa Simba SC au Member yoyote wa Jamiiforums ambaye ni mwana Simba SC 'awafowadie' hili Bandiko langu na walizingatie kwa Umakini mkubwa kwani aliyenihakikishia 'Umafia' huu anatokea ndani kabisa mwa Watu wa Yanga SC tena ni Mchezaji Mstaafu mwenye Heshima Kubwa Yanga SC na Tanzania nzima pia.
Msije kusema kuwa sikuwaambieni hili.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app