Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

Pia mimi nina taarifa nyeti kutoka kwenye uongozi wa simba,na hii nimeyonywa na mtu wa ndani wa simba,kuwa kupa wa gwita gold ni simba pure na tayari kapokea mzigo ili aachie magoli 4 na kuna wachezaji 3 ambao watapewa huo mgao akiwemo senta back,sasa kama kuna mtu yupo karibu na uongozi wa geita gold awape huu ujumbe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
We una umuhimu gani mpaka akuambie. Kajamba huko ukalale kima weee
 
Mnaweweseka sana msimu huu.Kazi mnayo lazima mtoke patupu bado mechi za kwenda mikoani.Hamuwezi kubebwa mechi zote mkae mkijua mna timu mbovu mkubaliane na matokeo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…