Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kwahiyo unadhani hizo posho zimeanza awamu ya sita ?Kuna Kila dalili kuanzia august 2021 ,mama kushindwa kulipa watumishi mishahara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unadhani hizo posho zimeanza awamu ya sita ?Kuna Kila dalili kuanzia august 2021 ,mama kushindwa kulipa watumishi mishahara.
Kwahiyo hizo posho zimeanza awamu ya sita ?Hayo ndio mamno aliyoyakataa JPM.
Yaan sahivi ndo kabisaaaHayo ndio mamno aliyoyakataa JPM.
Nenda shule, watu wana hadhi zao.....wewe kapuku unataka kulingana hadhi na wasomi na matajiri.Tunaonanana kwenye daladala ni manyani sio. Waafrika tuna safari ndefu sana. Upumbavu umetujaa. Ndio maana unakutana na lijitu limevimba tumbo linakutisha ati wanijua mimi ni nani?. Nawe unaliuliza ukifa hauozi?. Nyani kabisa.
Hizo ni roho mbaya, anajua hawezi kufaidika na posho alikimbia umande, anajitahidi sana kuwasagia kunguni walioajiriwa wasipewe hata mashahara....bwahaahahaha...Nyinyi ndiyo wale "wanyonge"wa mwendazake mnaoshangilia watu kuwa masikini, acheni roho za kimasikini
AMAIRA UNAZINGUAUzi wa roho mbaya huuu, ila posho haziwez kufutika serikalini, ni sehemu ya maisha ya kazi, na huongeza morali wacha posho ziendeleee
Unaogopa mjomba ako atakosa poshoHizo ni roho mbaya, anajua hawezi kufaidika na posho alikimbia umande, anajitahidi sana kuwasagia kunguni walioajiriwa wasipewe hata mashahara....bwahaahahaha...
Kwenye posho ndo sehemu ya kupata ahueni, mishahara kiduchu acha wenye fursa ya kula posho wale tu, wengine mlie na roho mbaya za kimaskini, hahaha...Unaogopa mjomba ako atakosa posho
Tena zaidi ya hiyo...njoo ujionee ofisini kwetu[emoji848]Yaan posho ya 1m kwa kikao kimoja
Wewe huna tofauti na popo anaekojoa kabinulia matako juuu akizani anaikomoa mbingu, kumbe ananuka mkojo mwenyeweKwenye posho ndo sehemu ya kupata ahueni, mishahara kiduchu acha wenye fursa ya kula posho wale tu, wengine mlie na roho mbaya za kimaskini, hahaha...
SawaTena zaidi ya hiyo...njoo ujionee ofisini kwetu[emoji848]
Kikao cha bodi each day bosi analamba $ 700-900
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Na shirika kusomesha watoto wao[emoji848]Umesahau posho ya mawasiliano na mafuta ya gari
Maweeeeee
Tujipange kwakweli nahisi hii harufu[emoji848]Kuna Kila dalili kuanzia august 2021 ,mama kushindwa kulipa watumishi mishahara.