Posho wanazojilipa Wakurugenzi na Mameneja huwa ni wizi mtupu! Bila kuzifuta posho hatutoboi

Posho wanazojilipa Wakurugenzi na Mameneja huwa ni wizi mtupu! Bila kuzifuta posho hatutoboi

Uko sahihi, bajeti ya wizara bilion 250, mishahara na marupurupu billion 225, shughuli za maendeleo bilion 25.

Meneja anasafiri kwenda nje ya nchi analipwa Dola 600 kwa siku, sawa na tsh 1.3m. Anakaa huko mwezi mzima.

Halafu tunatakata mwananchi wa Kijiji cha Namatumbusi apate panadol, kwa style hii labda apate ndotoni.

mbombo ngafu.
 
Tunaonanana kwenye daladala ni manyani sio. Waafrika tuna safari ndefu sana. Upumbavu umetujaa. Ndio maana unakutana na lijitu limevimba tumbo linakutisha ati wanijua mimi ni nani?. Nawe unaliuliza ukifa hauozi?. Nyani kabisa.
Nenda shule, watu wana hadhi zao.....wewe kapuku unataka kulingana hadhi na wasomi na matajiri.
 
mtu mweusi hovyo kabisa , mi siwatetei wanavyobaguliwa huko majuu, unaweza kukuta jitu limevaa tai, linameremeta, ukadhani na ofisini liko smart, kumbe wizi mtupu. kila hela inayoingia linawa kuiba. we fikiria unakuta mtu amepata urais ana miaka 60 , bado anaiba ma bilioni , ya nini ???? mtu ututunzwa mpaka unakufa !!!
 
Uzi wa roho mbaya huuu, ila posho haziwez kufutika serikalini, ni sehemu ya maisha ya kazi, na huongeza morali wacha posho ziendeleee
 
Nyinyi ndiyo wale "wanyonge"wa mwendazake mnaoshangilia watu kuwa masikini, acheni roho za kimasikini
Hizo ni roho mbaya, anajua hawezi kufaidika na posho alikimbia umande, anajitahidi sana kuwasagia kunguni walioajiriwa wasipewe hata mashahara....bwahaahahaha...
 
Hizo ni roho mbaya, anajua hawezi kufaidika na posho alikimbia umande, anajitahidi sana kuwasagia kunguni walioajiriwa wasipewe hata mashahara....bwahaahahaha...
Unaogopa mjomba ako atakosa posho
 
Kwenye posho ndo sehemu ya kupata ahueni, mishahara kiduchu acha wenye fursa ya kula posho wale tu, wengine mlie na roho mbaya za kimaskini, hahaha...
Wewe huna tofauti na popo anaekojoa kabinulia matako juuu akizani anaikomoa mbingu, kumbe ananuka mkojo mwenyewe
 
Back
Top Bottom