Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

Siro nafahamiana naye sana tangu ujana. Hakuwahi kuniambia kuwa yeye ni mzanaki. Alikuwa akisema yeye ni mwikizu, sawa na Warioba. Gentamycin, hapo imekaaje?
Hao wote ni wakurya
Wazanaki ni kabila dogo mno kama eneo la kata
Wala sio maarufu ni watu wavivu na waoga, wanaonewa sana wakurya
Wazanaki wamebahatika kumtoa baba wa Taifa tu
Lakini mkoani Mara ni kakabila kadogo kanyonge tu
 
Hilo ni suala la kimuundo zaidi. Sheria na katiba zinawafunga, zinatoa upenyo wao kutumika. Until haya mambo yatakapo badilika IGO wengi wataonekana vilaza

Lakin pia hiyo taasis imekuwa invaded na viongozi ambao ni wa usalama. Hili lipo wazi
JW waliwafurusha TISS waliopenyezwa Jeshini
 
Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
GENTAMYCINE wazo lako linafikirisha ingawa lina ukweli ndani yake kwa sababu kila anayekamatwa wakamataji wanijiita polisi (sina uhakika). Kinachotokea kwa mawazo yangu mgando, kuna kikundi chinja chinja sijui idara gani kinakamata kwa jina la Jamhuri wa Polisi, then kinaenda kinaua au kinapeleka watuhumiwa vituo vya polisi hasa wale ambao labda wametoa kihera na hiyo inaonesha polisi wanahusika. Ila ukweli ni kuwa polisi hawana mamlaka ya kuhoji hao wa ndani ndani kabisa chinjachinja, hivyo inabidi wanyamaze hata kama wakijua kwa sababu ya viapo vya kutunza siri wanaugulia ndani kwa ndani. Ila all in all nadhani tunahitaji katiba mpya inayotoa uhuru na haki zaidi kwa watanzania kuliko sasa eti unakamatwa tu na polisi halafu unaenda ka kondoo
 
Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Kwa mtu mwenye nia safi, mtu mwenye busara anapaswa kujiuzuru, ingawa tukio la Mbeya la mwezi uliopita walipaswa kujiuzuru tangu hapo lkn mtu huyu sidhani Km atafanya hivyo bila ya kufurushwa
 
Watanzania mlivyo matahira sasa,mnavyosingizia watendaji-sasa mnataka huyo Wambura aende against order za mabosi wake??
Wewe hapo kwenye majukumu yako unaweza kwenda against bosi au wateja wako???
Acheni tabia za unafiki mnajua kabisa tatizo sio Wambura wala Masauni lakini mnatoa mishipa as if wao ndio wasababishi.
Wote hao ni wapokea maagizo kutoka kwa mtu moja,kama mnataka badilisha mambo tokeni majumbani mkabadilishe sio kuanza kusingizia watu.
 
na mtu huyo mmoja ni samia
 
...na Wajita wana Magesa... Ni kweli, haya hapo kila sehemu.
 
Wakati fulani wakijibu lawama kuhusu mauaji haya, walisema kwamba wao hawauwi watu. Waliishia hapo na hivyo kuwaacha raia hewani wasijue nani hasa anahusika na matendo haya maovu.
 
Rais ateue Waziri Meja Jenerali wa JWTZ hawa watu huwa ni poa sana kama alivyokuwa Kimario. IGP wapo vijana wasomi ambao wana exposure ya mambo mf Suzana Kaganda. Hata nafasi hiyo ikishindikana mpate JWTZ. Awadhi naye aondoke. TISS imebadilishiwa mno ma DGIS inawezekana kuna shida ndani, Pafumuliwe na kuchunguzwa. Nayo ifike mahala ikamatwa na Brig General. Hakuna namna.Mtaniambia ufanisi wake.
 
Huyu jamaa hakustaili kuwa kiongozi.
Ana tuhuma nyingi za uonevu,unyanyasaji na ukatili kwa askari wa wadogo [wa vyeo vidogo]na ikumbukwe pia amehusishwa na utekwaji na hata vifo kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani,ni mtu mwenye kisasi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…