GENTAMYCINE wazo lako linafikirisha ingawa lina ukweli ndani yake kwa sababu kila anayekamatwa wakamataji wanijiita polisi (sina uhakika). Kinachotokea kwa mawazo yangu mgando, kuna kikundi chinja chinja sijui idara gani kinakamata kwa jina la Jamhuri wa Polisi, then kinaenda kinaua au kinapeleka watuhumiwa vituo vya polisi hasa wale ambao labda wametoa kihera na hiyo inaonesha polisi wanahusika. Ila ukweli ni kuwa polisi hawana mamlaka ya kuhoji hao wa ndani ndani kabisa chinjachinja, hivyo inabidi wanyamaze hata kama wakijua kwa sababu ya viapo vya kutunza siri wanaugulia ndani kwa ndani. Ila all in all nadhani tunahitaji katiba mpya inayotoa uhuru na haki zaidi kwa watanzania kuliko sasa eti unakamatwa tu na polisi halafu unaenda ka kondoo