Povu la Maaskofu kuhusu mkataba wa bandari ni kuondolewa kwa uchochoro wa kupiga pesa

Sio kweli. Ninauzoefu na shughuli za serikali.
 
Sio kweli. Ninauzoefu na shughuli za serikali.
Haya! wewe una uzoefu lakini hujui mimi nafanya kazi wapi. Nimekudokezea tu kwa faida yako. Kaangalie klip ya Magu akiwa bandarini, na uone teknolojia duni inavyorahisisha ukwepaji wa kodi.
Hapa kubwa , serikali imeligundua hilo na inahitaji kufuta tatizo hilo. Na ninakuhakikishia safari hii tatizo litatatuliwa.
 
Umeandika upuuzi.
 
Uchochoro gani unaondolewa?!

Kwani sheria ya Kodi mmeibadilisha.

Rais halipi Kodi, na makanisa na misikiti si wanapewa msamaha.

Ukiwa hujui kitu chutama!

DP world ndio anakuja kuondoa sheria za Kodi?!

Omba uelimishwe
Simu amepewa, bando anajaziwa na buku 7 kila wiki. Atakosaje kuimba mapambio na keyboard?
 
Hiyo misamaha ya kodi ipo kisheria? Na kama ni ya kisheria je DP World wanakuja kubadili sheria?

Je viwango vya kodi vinawekwa na serikali kupitia sheria au DP World watajipangia namna ya kukata kodi?

Je DP World ndio watakusanya kodi au ni TRA watakao kusanya kodi kwa mujibu wa sheria zetu?

Bila shaka haya maswali yatakusaidia upate ufahamu kuhusu DP WORLD ni nani na anakuja kufanya nini maana unaonekana huelewi chochote kuhusu haya mambo. Yaani kwa maneno mengine wewe ni chawa mfyonza damu asiye na ubongo wa kutunza 1kb ya taarifa. Hauna chochote just a chawa
 
Wote unaowasikia wanapiga makelele ni kwamba mirija inaenda kukoma,ni wajinga tuu ndio wata side nao
 
Mbona wakezaji mnawasamehe Kodi wanapowekeza.Je ni uchocholo wa viongozi kupewa rushwa???Toka lini serikali ikawafundisha watu wasiwe wezi, wasiwe waongo,wawe na upendo, wawe waminifu nk kama sio Hawa watumishi wa Mungu.Kubalini tu kwa limebuma
 

Halafu unaweza kukuta mtu aliyeandika huu utoto kiumri ni mzee.
 
Yaani ushindwe kuwadhibiti watanzania wenzio kwenye bandari ili upate ufanisi, ila uwamudu wawekezaji? Akili nyingine bana.
Mwekezaji anapewa malengo tuu ya pesa Wala haihitaji Nguvu,akishindwa anafukuzwa fasta.

Ila huwezi dhibiti upigaji kwenye sekta ya Umma maana mwizi ni kuanzia Polisi, Takukuru Hadi hao mnaowaita Tiss.

Harafu ofisini ukijifanya umenyooka utakufa au majungu yatakuondoa bwashee
 

Kwamba unaweza kumfukuza Mwarabu Fasta, unaota ndoto mbaya sana dogo.
 
Uchochoro gani unaondolewa?!

Kwani sheria ya Kodi mmeibadilisha.

Rais halipi Kodi, na makanisa na misikiti si wanapewa msamaha.

Ukiwa hujui kitu chutama!

DP world ndio anakuja kuondoa sheria za Kodi?!

Omba uelimishwe
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†@USSR na The Boss ombeni mueleweshe. Acheni chuki zenu za kidini.
 
Ukweli ni upi?
Tatizo kuu la TPA ni ufanisi mdogo, inachukua muda mrefu kupakia na kupakua mizigo. Mambo ya kodi yanashughulikiwa na TRA, misamaha na ukwepaji kodi wote unafanyika huko.

Na serikali wanazijua mbinu zote zinazotumika, wakwepa kodi sio watu wadogo na makapuku, ni vigogo ambao hata umweke nani pale as long as wana support kutoka juu watakwepa tu.

Wakati wa JPM aliziba mianya na tulisikia vilio vya wakwepa kodi, kwani DPW walikuwepo bandari??
 
Shule zinazomilikiwa na kanisa ni gharama sana hazina msaada wowote kwenye jamii
 
Wewe ni zwazwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…