The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli. Ninauzoefu na shughuli za serikali.Hujui misamaha ya kodi inavyozungukwa. Katika misamaha ya kodi (mashirika, taasisi) zaidi ya nusu ya mizigo iko nje ya misamaha. Kwa maneno mengine sreikali inapoteza zaidi ya 50% ya pato kupitia misamaha ya kodi.
DPW wanateknolojia yan kisasa itayogundua udanganyifu huo. Hapa ndio walaji wanapolialia.
Haya! wewe una uzoefu lakini hujui mimi nafanya kazi wapi. Nimekudokezea tu kwa faida yako. Kaangalie klip ya Magu akiwa bandarini, na uone teknolojia duni inavyorahisisha ukwepaji wa kodi.Sio kweli. Ninauzoefu na shughuli za serikali.
Umeandika upuuzi.Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.
Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.
Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu
Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.
USSR
Bunge linaweza kujadili makubaliano.?Hujui mkataba maana wewe unawaza makubaliano ndio mkataba,rudi shule uache ujinga
USSR
Simu amepewa, bando anajaziwa na buku 7 kila wiki. Atakosaje kuimba mapambio na keyboard?Uchochoro gani unaondolewa?!
Kwani sheria ya Kodi mmeibadilisha.
Rais halipi Kodi, na makanisa na misikiti si wanapewa msamaha.
Ukiwa hujui kitu chutama!
DP world ndio anakuja kuondoa sheria za Kodi?!
Omba uelimishwe
Ukweli ni upi?Sio kweli. Ninauzoefu na shughuli za serikali.
Hiyo misamaha ya kodi ipo kisheria? Na kama ni ya kisheria je DP World wanakuja kubadili sheria?Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.
Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.
Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu
Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.
USSR
Wote unaowasikia wanapiga makelele ni kwamba mirija inaenda kukoma,ni wajinga tuu ndio wata side naoMaaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.
Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.
Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu
Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.
USSR
Mbona wakezaji mnawasamehe Kodi wanapowekeza.Je ni uchocholo wa viongozi kupewa rushwa???Toka lini serikali ikawafundisha watu wasiwe wezi, wasiwe waongo,wawe na upendo, wawe waminifu nk kama sio Hawa watumishi wa Mungu.Kubalini tu kwa limebumaMaaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.
Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.
Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu
Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.
USSR
Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.
Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.
Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu
Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.
USSR
Yaani ushindwe kuwadhibiti watanzania wenzio kwenye bandari ili upate ufanisi, ila uwamudu wawekezaji? Akili nyingine bana.Wote unaowasikia wanapiga makelele ni kwamba mirija inaenda kukoma,ni wajinga tuu ndio wata side nao
Mwekezaji anapewa malengo tuu ya pesa Wala haihitaji Nguvu,akishindwa anafukuzwa fasta.Yaani ushindwe kuwadhibiti watanzania wenzio kwenye bandari ili upate ufanisi, ila uwamudu wawekezaji? Akili nyingine bana.
Mwekezaji anapewa malengo tuu ya pesa Wala haihitaji Nguvu,akishindwa anafukuzwa fasta.
Ila huwezi dhibiti upigaji kwenye sekta ya Umma maana mwizi ni kuanzia Polisi, Takukuru Hadi hao mnaowaita Tiss.
Harafu ofisini ukijifanya umenyooka utakufa au majungu yatakuondoa bwashee
👆👆👆@USSR na The Boss ombeni mueleweshe. Acheni chuki zenu za kidini.Uchochoro gani unaondolewa?!
Kwani sheria ya Kodi mmeibadilisha.
Rais halipi Kodi, na makanisa na misikiti si wanapewa msamaha.
Ukiwa hujui kitu chutama!
DP world ndio anakuja kuondoa sheria za Kodi?!
Omba uelimishwe
Kwa nini asifukuzwe? Soma maoni ya Watanzania Hawataki majinga yenu na haya hapa 👇Kwamba unaweza kumfukuza Mwarabu Fasta, unaota ndoto mbaya sana dogo.
Tatizo kuu la TPA ni ufanisi mdogo, inachukua muda mrefu kupakia na kupakua mizigo. Mambo ya kodi yanashughulikiwa na TRA, misamaha na ukwepaji kodi wote unafanyika huko.Ukweli ni upi?
Hivi bungeni huwa kunapelekwa mkataba au makubaliano.??Hujui mkataba maana wewe unawaza makubaliano ndio mkataba,rudi shule uache ujinga
USSR
Shule zinazomilikiwa na kanisa ni gharama sana hazina msaada wowote kwenye jamiiMashirika ya dini au makanisa hayakukataa kulipa kodi ,walikaa na serikali,wakaieleza serikali ikawaelewa ,Kwa huduma wanazitoa Kwa jamii, mfano: hosp, mashule hata vyuo vya kati na vya juu, ndiyo wanaopata huduma huko wanachangia na gharama zao siyo kubwa kama sector zingine za binafsi.
Kwa Mimi wanaweza tu kulipa kodi, ili misamaha isiwe kufuri la kuwafunga watumishi hao wa Mungu kuksema au kutoa maoni yao. Yesu alilipa Kodi kwa nini hao wasilipe ? Walipe tu kama serikali itaona yafaa walipe.
Wewe ni zwazwa!Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.