President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

Alipopewa honorary doctorate basi ikawa initial rasmi Dr. Kikwete mpaka ikawa inaboa......, sasa kapewa honoray professorship huko china. Anzeni kumwita Prof. Kikwete tuone....

Hata maji marefu nae ni Professor, kuna prof. Jay wa mitulinga, kuna Dr. Cheni...., sio mbaya kuwa na Prof. Kikwete.




Chanzo:Michuzi

Safi sana, ataenda kufundisha kilimo kule uchina, hii ndio kazi aliyosema atakayofanya akistaafu
 
Prof Mark Mwandosya alipata kueleza "You can be anybody, but not Professor"

Rais wetu Dk Jakaya Kikwete, ametunukiwa U-Professor nchini China.

Je, ni u-Professor fake au nukuu ndo fake?
 
Prof Mark Mwandosya alipata kueleza "You can be anybody, but not Professor"

Rais wetu Dk Jakaya Kikwete, ametunukiwa U-Professor nchini China.

Je, ni u-Professor fake au nukuu ndo fake?

Uprof wa kutunukiwa na SanLG University una maana gani? Labda Uprof wa bodaboda.
 
Duh sikuizi elimu haitafutwi tena madarasani wala research make nimeona huko utasota sana jamani,kumbe dili ni kuwa kiongozi tu vyeo vinapanda taratibu mpaka unakua prof. kama ilivo kwa rais wangu kikwete,hongera prof. kikwete wachina wamethamini kazi yako
 
Siyo tu utamani kuwa kama Profesa JK, lakini pia jitahidi uupate utaalam wa 'miziziology' hadi pia uukwae uprofesa, kama alivyoukwaa yule Mheshimiwa wa zile pande za Korogwe, ambaye anatambulika kama Profesa wa maji ya kina kirefu!

To be a politician in this Country, gives you an advantage to be honoured a Doctorate degree!
 
Sidhani kama Profesa Kikwete anamzidi uwezo Profesa Jay!!!!
 
Kiukweli ni Mengi pekee ndio naona anastahili u-honorary doctorship.Hao wengine wamelazimishia tuu.
Prof wa agriculture kwa kutumia kudra ya msimu wa mvua?
Wangesema labda external medietor au peace negotiator bora maana alisaidia Kenya angalau.
 
Wakwere hupenda sifa sana,
Wachina wamegundua udhaiffu wake.

Hongera Dr.Prof Dhaifua
 
Mh. Prof. Dr. Presidaa JMHK! Siyo mchezo.

Hii inafanana na ya Rais wa Zaire ya zamani Mobutu sseseko kuku wa zambanga, sasa tuitafutie kiswahili chake au kirugha chake, tujue kwa kikwele katika vyeo vya usomi alivyopewa tunamuitaje?
 
kwahiyo yupo sawa na Prof. Mwandosya ? yaani majembe kina dr. magufuli , dr. slaa na dr. mwakyembe wote kawazidi?
 
Wiki hii mh: rais Jakaya mrisho kikwete.

Ametunukiwa cheti cha uprofesa wa kilimo nchini china kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini.

Sasa rais kikwete atakuwa akitambulika kama profesa jakaya kikwete!

Je una lipi la kusema?
 
Mhhh!!!. Usomi umekuwa rahisi namna hii? Uprofesa wa kuletewa mezani hivi hivi tu? Hawa Wachina watakuwa na Lao jambo.
 
T ImageUploadedByJamiiForums1414259451.119413.jpg

Anaungana na profesa mwenzie huyu hapa
 
40 Tanzanian Engineering Professors were told to sit in an Air Tanzania. when they were all seated and the plane was about to take off, they were told the plane was made by their own students.They quickly run out of the plane leaving only one professor, Eng. Rweyemamu who was sitting confidently. When he was asked why he is still sitting, he said..." if the plane was made by our own students, trust me it won't even start !!!"

Nadhani tuna tatizo kubwa sana ki-mtazamo. Watanzania wengi ni watu wenye uwezo mkubwa lakini tatizo la kimtazamo ndilo linalotusibu kwani mara zote hatungoji kudhalilishwa bali hujidhalilisha wenyewe. Ni watanzania wachanche sana wanaojua kuwa kuna watanzania wanaofanya kazi katika maeneo nyeti duniani kama vile NASA, PENTAGON, na katika mahospitali makubwa duniani.

Mengi na Bakresa ni wajasiriamali wazuri na nchi chache zina watu wa aina yao hayo na mengi wengi hawayaoni. JK Kupewa uproffessor angelikubali angeliupata mapema tena marekani. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Mhhh!!!. Usomi umekuwa rahisi namna hii? Uprofesa wa kuletewa mezani hivi hivi tu? Hawa Wachina watakuwa na Lao jambo.

mkuu, huu uprofesa wa jk ktoka huko nchini china umenipa "stofaham".
 
Mhhh!!!. Usomi umekuwa rahisi namna hii? Uprofesa wa kuletewa mezani hivi hivi tu? Hawa Wachina watakuwa na Lao jambo.

Ujue kichekesho!!! Kumbe unaweza kuwa professor bila kuingia Darasani!, mambo rahisi eeeh
 
Back
Top Bottom