Umeongea sahihi kabisa...
Lakini kwa nyongeza tu, Tony Blair Institute for Global Change is a non-profit organization, kwahiyo sidhani kama malipo yoyote tunayofanya!!
Nakumbuka back 2017 hii taasisi iliwekwa kitimoto kwa madai ya kupokea STG 9K from Saudi Arabia kama "malipo" ya kumsaidia Prince Mohammed bin Salman kufanya Saudi's Modernization Program. Hata hivyo, wenyewe wakasema hayo hayakuwa malipo bali donation, kwa sababu TBI huwa wanajiendesha kwa donations!
Sasa sioni ni namna gani wanaweza kuchukua malipo kutoka Tanzania kwa tafsiri yoyote ile, hata kwa kuita donation ikiwa pesa kutoka taifa kama Saudi Arabia tu ilionekana ni BIG ISSUE kwamba kwanini wapokee malipo wakati ni non-profit!