President Samia on a panic mode

President Samia on a panic mode

Huu uzi wa kujifariji ila Mama Samia ni rais hadi 2030.
Tumuombee uzima tu. Hakuna namna ambayo Mama Samia kama mgombea urais kupitia CCM akashindwa na Lissu au mgombea mwingine yeyote. Na CCM kumkataa mwenyekiti wao na rais ambaye bado yuko madarakani HAIWEZEKANI ndo maana CCM iliamua Rais ndo awe mwenyekiti pia. Kumletea figisu mwenyekiti ni jambo hatari zaidi kwa mwanaCCM endapo atagundulika.
CCM haikubaliki mijini tu lakini hana vijijini siyo kama inakubalika ila huwa hakuna vyama Mbadala. Nimetembea vijiji vingi sana Tanzania. Ukiondoa kilimanjaro, Arusha na mbeya mikoamingine yote mijini CDM wanawanachama na wafuasi wengi lakini vijijini hakuna watu kabisa.Na sababu kubwa ya vijijini kutokubalika ni sababu ya hofu kwasabu vijijini watu wote huwa wanajuana kwahiyo ukiwa mpinzani ni rahisi kushughurikiwa. Kwa misingi hiyo Bado si rahisi sana CDM kufanya vizuri chaguzi hizi zinazokuja, mijini watapata kura nyingi na viongozi wengi ila vijijini wasahau
Utafiti wako ni fake na wa uongo..

Mimi niandikapo hapa naishi kijijini hasa, mkoa wa Shinyanga maeneo ya vijiji vya Shirima - Shinyanga vijijini..

CHADEMA ndiyo mpango mzima na ina wafuasi wengi balaa kuliko unavyojaribu kudanganya hapa..

CCM ilishaharibu kote mijini na vijijini.

Ndiyo maana ya ushenzi, upumbavu na ujinga uliofanywa na polisiCCM Mbeya juzi na jana kupiga watu na kuzuia kongamano la vijana - BAVICHA kwa sababu ya HOFU YA CCM KUKATALIWA na wananchi..

Wangekuwa wanajua kuwa wanakubalika na kuungwa mkono sana vijijini na hivyo wana kura za kutosha, wangeiacha CHADEMA ya mjini ifanye shughuli zake za kisiasa na wao CCM wawekeze huko vijijini kama wanadhani wanakubalika..!

Ushahidi mwingine uliowazi kabisa ni ziara ya juzi kati hapa ya Tundu Lissu (Makamu Mwenyekiti - CHADEMA) katika kanda ya kati ya kichama yenye mikoa ya Singida, Dodoma na Morogoro..

Alitembelea vijiji vingi mfano Singida ni vijiji vya Shelui, Ibaga, Mwangeza vilivyoko wilaya ya Iramba na Mkalama nk.

Uliona wanakijiji waliokuwa wanajitokeza na kuonesha mwamko na support kwa CHADEMA kuonesha kabisa kuwa wameshachoka na CCM..?

Ndiyo maana nakuambia utafiti wako ni wa uongo na fake kabisa. Na pengine hata hujui mwenendo wa siasa za Tanganyika bali unatumia hisia za kizamani kujiandikia chochote..
 
Kwamba CCM inategemea box la kura ili ishinde..!?

JF..!? 😂😂
Kweli nyi ni great thinkeRs!?!!
 
Watazania walio wengi bado ni wajinga katika siasa na chaguzi za demokrasia, huchagua bila kuangalia ni chama gani kina sera bora na nzuri kwa taifa lao na ni nani mgombea, wanahadaliwa na kauli mbiu, Chagua ccm, chagua Samia.
 
Hacheni kujidanganya nyie wajinga! Hapa sio samia anagombea bali ccm! Akipita na kuwa mgombea wa ccm rest assured atashinda kwa asilimia 60+
 
Kwa sheria Gani kuwatoa ngeu wapinzani.... Same attitude 😂
Hapo kuna loopholes nyingi nyingi lakini kwa suala la sifa za mgombea urais ziko wazi na zimetajwa na katiba wala msajili hauhusiki kwa namna yoyote ile.
 
Bado ana chance
Mfano,

Msajili kulazimisha vyama vyote vya siasa kuweka mgombea urais kutoka Zenj na lazima awe mwanamke...

Hii unaweza kutumika kama njia ya kudumisha umoja wa kitaifa, na kuzingatia jinsia katika demokrasia.

vyama vyote vinaweza vikaelekezwa hivyo kwa amri au vifutwe.

Hilo ni tobo tu nawasanua😂
Labda huyo msajili awe na cheti cha mirembe na lutindi
 
Hili swala hapa lilipofika wala siyo la Chadema bali nimla kila Mtanganyika mwenye akili timamu. Tukisubiri Chadema tutachelewa sana saa ya ukombozi ni sasa, Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika.
Tutaweza kuungana kama Kenya walivyofanya na kuondoa KANU madarakani?
 
Kwa kukujuza tu, Uislam haujawahi kubaguwa kati yamwanamme na mwanamke kwa lolote lile zaidi ya baiolijia yaoya kiasili tu.

Uislam ndiyo uliokuja kufunguwa macho watu duniani ndipo mwanamke akaanza kupewa heshima kwa utu wake siyo kwa jinsi yake.

Wanawake katika Uislam wana historia kubwa sana kuliko ujuwavyo. Ukiona kuna mafundisho ya kumdunisha mwanamke elewa kuwa hayo siyo ya Kiislam.

Umewahi kumsikia Fatma Al Fikhri?
upupu unao ongea ndio maana Mtume wenu aliwaita mna akili Nusu Afghanstan na Iran funzo kwenu

(12)Chapter: The witness of women

Narrated Abu Sa`id Al-Khudri:
The Prophet (ﷺ) said, "Isn't the witness of a woman equal to half of that of a man?" The women said, "Yes." He said, "This is because of the deficiency of a woman's mind."
 
Chadema ni nani ana sida za kuwa rais pale? Hilo ndo tatizo wakuu

..Tundu Lissu akipewa fedha za kutosha kufanya mikutano mingi sawa na Samia anaweza kumshinda huyu Mama.


..Na wakiambiwa wagombea wafanye MDAHALO Lissu atachomoza kama mgombea mwenye uelewa kumzidi Mama Samia.

..Mama Samia ana fedha nyingi. Lakini Lissu amemzidi kwa mbali sana uelewa kuhusu Tanzania, dunia, na mambo mengi ya kiutawala, na sheria.
 
Back
Top Bottom