President Samia on a panic mode

President Samia on a panic mode

Sio kweli wakati wa Mtume Muhammad(SAW),walikuwako wanawake viongozi kam Bi Khadija,Bi Aisha,Fatma Zahrah.Wanaume wengi walikwenda kujifunza uidlamu kupitia wanawake hawa.Na vile vile Mtume Muhammad alifanyakazi,chini ya Bi Khadija,kabla ya kuwa mkeww na baada ya kuwa mkewe.Vile vile katika uislsmu mamake Yesu,,Maryam(Mariya),nimwanamke bora kuliko wanawake wote.
Mabinti wa Ufalme wa Saudia (Princess') huwa wanalalamika kuishi kama wafungwa, sidhani kama uko sahihi
 
Mamlaka inatoka kwa Mungu, ajitulize, kama ana kibali kwa Mungu atakua rais, kama hana atarudi Kizimkazi na uzuri historia kashaindaka kwa East Africa.
 
Ngoja nitafakari, naona kama kuna ukweli! Ila ni vile Chadema wamesambaratika!
Hili swala hapa lilipofika wala siyo la Chadema bali nimla kila Mtanganyika mwenye akili timamu. Tukisubiri Chadema tutachelewa sana saa ya ukombozi ni sasa, Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika.
 
Kwani Tanzania si unaongozwa katika mfumo wa kikiristo (Dini na siasa tofauti) ,katika mfumo wa uislam mwanamke hakubaliwi kuongoza wanaume yaani kuwa kiongozi mkuu
mbona bangladesh ni muslim country lakini iliongozwa na akina mama kwa muda mrefu?
 
Kura tutapiga

Kama uchaguzi utakuwa huru na haki hapenyi.hata ukijanini Hana ubavu wa kupenya hata akiwekwa na lusinde.

Shida ni kwamba atapenya Kwa nguvu ga Dola and rigging. Hilo Wana uhakika nalo.
Lusinde yupi huyo? Tumjuaye keshatangulia mbele za haki.
 
Kwa kukujuza tu, Uislam haujawahi kubaguwa kati yamwanamme na mwanamke kwa lolote lile zaidi ya baiolijia yaoya kiasili tu.

Uislam ndiyo uliokuja kufunguwa macho watu duniani ndipo mwanamke akaanza kupewa heshima kwa utu wake siyo kwa jinsi yake.

Wanawake katika Uislam wana historia kubwa sana kuliko ujuwavyo. Ukiona kuna mafundisho ya kumdunisha mwanamke elewa kuwa hayo siyo ya Kiislam.

Umewahi kumsikia Fatma Al Fikhri?
UHalisia upo mbali sana, kwenye nchi zinzofauta sharia, mf afganistan, SA n.k mwanmke kule ni practically slave, hawana uhuru.
 
Angeilinda heshima yake kama angekubali kuwa yeye alikuwa ni Rais wa mpito kuelekea Rais atakayechaguliwa na umma. Sasa amejawa na tamaa, na kuamini anaweza kuchaguliwa, wakati kwa muda mfupi amefanya madudu mengi ikiwemo kupora rasilimali za nchi kwa maslahi yake binafsi, wanafamilia na marafiki zake waliowezesha uharamia wa kuporwa kwa rasilimali za Tanganyika.
Hakuna kitu kinaniboa kama kukithiri kwa wizi na kupotea kwa watu awamu hii ya mama yenu.
 
..Samia na CCM wana FEDHA nyingi mno za kampeni.

..hata kama mgombea wao ni mbovu, lakini fedha, rasilimali, msaada wa vyombo vya dola, ni advantage kubwa sana kwa CCM wakati wa uchaguzi.

.
Kweli pesa chafu wanazo hasa za kuuza bandari na Loliondo lkn amani kushinda hawana
 
Bado ana chance
Mfano,

Msajili kulazimisha vyama vyote vya siasa kuweka mgombea urais kutoka Zenj na lazima awe mwanamke...

Hii unaweza kutumika kama njia ya kudumisha umoja wa kitaifa, na kuzingatia jinsia katika demokrasia.

vyama vyote vinaweza vikaelekezwa hivyo kwa amri au vifutwe.

Hilo ni tobo tu nawasanua😂
Kwa sheria gani atatoa amri hiyo?
 
Bado ana chance
Mfano,

Msajili kulazimisha vyama vyote vya siasa kuweka mgombea urais kutoka Zenj na lazima awe mwanamke...

Hii unaweza kutumika kama njia ya kudumisha umoja wa kitaifa, na kuzingatia jinsia katika demokrasia.

vyama vyote vinaweza vikaelekezwa hivyo kwa amri au vifutwe.

Hilo ni tobo tu nawasanua😂
Hilo haliwezekani
 
..Mama Samia anataka kugombea peke yake.

..yaani hata wapinzani wasiweke mgombea ktk nafasi ya Rais wa muungano.

..Freeman Mbowe na Tundu Lissu watapigwa vita kali sana kuanzia sasa hivi mpaka uchaguzi Mkuu. Lengo ni kuwakatisha tamaa ili Samia agombee Uraisi peke yake.
Dhambi kubwa katika maisha ya mtu mmoja mmoja au kampuni au taasisi ni kukata tamaa kusema wewe huwezi kufikia level ya mpinzani wako. Vita ni vita mura never give up.
 
Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.

Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).

Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.

Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.

Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini wananchi Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.

Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.

Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.

Quinine, an independent thinker.
Huku system inaoarangayika, kule ccm chali, huku wapinzani wamechachamaa, kule wananchi wanasema hatukutaki.

Aisee lazima ujikute ktk hali ngumu sana...hivi kile kipigo cha Mbeya kilitokana na nini hasa?..

Kila mtu anajiuliza hili swali.
 
Kuanzia mwaka 1995 wakati wa mfumo wa vyama vingi ulipoanza hakuna kiongozi yeyote ambaye amewahi kukubalika by 60%. Na hivyo ndivyo dunia ilivyo.

Hata Mkapa alikuwa hakubaliki kabisa dhidi ya Lyatonga Mrema, lakini mjadala (political discussion) iliyofanywa pale Kilimanjaro Hotel chini ya Business Times ya Bernard Palela (RIP), Mkapa aliibuka kidedea na watu walamuelewa.

Haijalishi Rais Samia ni mwanamke Muislamu kutoka Zanzibar, lakini ana makubwa yake mengi amefanya. Na hayo yanaweza kuwa na nguvu kuliko Uwanamke wake, Uzanzibari wake na Uislamu wake.
Watetezi mna kazi sana.
 
Back
Top Bottom