President Samia on a panic mode

President Samia on a panic mode

Unachosahau kwenye Urais ccm haitegemei kushinda kwa kura halisi bali majumuisho.

Mshindi akishatangazwa matokeo hayapingwi mahakamani.

Msipoteze muda bure, bila kuwabinya ccm kwenye hivyo vipengele viwili ni kazi bure mtachaguwa Wabunge tu lakini Samia mitano hili wala halina mjadala.

Tusijioe imani kwa kitu ambacho hakiwezekani, Tiss wapo mpaka Nec halafu unamuangusha vipi Rais wao.

Ccm na kile chama cha kikomunist cha China ni mapacha hawana tofauti yoyote.
Kama unajua kila kitu kiko chini yako kuwa ije mvua lije jua utashinda, sasa kinachokufanya uanze kutuma polisi kuvuruga mikutano ya mpinzani wako ni nini kama sio hofu ni kitu gani.
 
1. Hapa wa dini yake watamkataa katu milele
2. Ile kuuza mali za tanganyika akaacha za zanzibar, katu watanganyika hawatampa kura

Lastly yote uliyoandika ni madini matupu, ningelitamani story kama hii iingie tweeter isomwe dunia nzima ya watanganyika na ndugu waislamu....................Mwanamke Mh! hawezi kuwa kichwa cha wanaume! kwenye dini ile yetu
Isingekuwa unatumia fake ID kule X hata wewe ungechapisha kule, shida ni hujaficha identity.
 
Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.

Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).

Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.

Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.

Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini wananchi Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.

Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.

Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.

Quinine, an independent thinker.

Ndugu Quinine, huyu bibie panga pangua hawezi kuruhusiwa wala kupitishwa kugombea njoo 2025..!!

Nakuambia mtifuano wa mwaka 2015 ni cha mtoto ndani ya CCM iwapo watu wake watalazimisha kumpitisha huyu bibie mwaka kesho..

Ukiachilia mbali hizi sababu kuu tatu;
1. Uanamke wake

2. Utaifa wake na

3. Mtu atakayepambana naye (Tundu Lissu) Mtanganyika kwa ajili ya u - Rais wa Tanganyika

Huyu Raia wa nchi nyingine, taifa la kigeni la Zanzibar hawezi kuwa Rais wa nchi isiyo yake ya Tanganyika..!!

Itakuwa ni ujuha uliopitiliza kama Watanganyika tutaruhusu hili kuendelea kutokea...

Kwa hili hata huko CCM wanalijua na linawaumiza pia..

Nina hakika hata wao hawako tayari kuli ruhusu hili kutokea.!

Wewe subiri tu utauona mtifuano wake!
 
Wasiojua Nguvu ya Mwenyekiti wa CCM akiamua kua dikteta hakuna kitu mtafanya yeye ni Mwenyekiti hapo hapo ni Amiri mkuu wa Majeshi acheni utani basi Samia yupo akiamua kua Dikteta hakuna Mwanachama anaweza kusema chochote hata hao wakina makamba anaweza kuwanyanganya kadi za Uanachama amkumbuki Magu
Unaweza kuwa na kila kitu powers zote lkn ukakosa hekima. Magu alikuwa navyo vyote lkn hakuwa na busara wenzake wakamzidi maarifa akafa kama sio kuuawa.
 
Sio kweli wakati wa Mtume Muhammad(SAW),walikuwako wanawake viongozi kam Bi Khadija,Bi Aisha,Fatma Zahrah.Wanaume wengi walikwenda kujifunza uidlamu kupitia wanawake hawa.Na vile vile Mtume Muhammad alifanyakazi,chini ya Bi Khadija,kabla ya kuwa mkeww na baada ya kuwa mkewe.Vile vile katika uislsmu mamake Yesu,,Maryam(Mariya),nimwanamke bora kuliko wanawake wote.
Queen of Sheba
 
Hivi wewe unajua nguvu ya Rais na mwenyekiti wa CCM? Hakuna mjumbe wa mkutano mkuu anayeweza kuthubutu kufanya hicho unachodhani.. wanaweza kufyekwa nusu wa wajumbe wa mkutano mkuu na kuishia kupoteza uanachama. Mwalimu Nyerere akiwa mwenyekiti wa CCM alimvua madaraka yote aliyokuwa nayo Rais wa Zanzibar ndani ya saa 24.
2015 Kikwete aliingia na jina la Membe wajumbe wakakataa wakamtaka Lowassa ila bahati ikamwangukia Magufuli.
 
Ndugu Quinine, huyu bibie panga pangua hawezi kuruhusiwa wala kupitishwa kugombea njoo 2025..!!

Nakuambia mtifuano wa mwaka 2015 ni cha mtoto ndani ya CCM iwapo watu wake watalazimisha kumpitisha huyu bibie mwaka kesho..

Ukiachilia mbali hizi sababu kuu tatu;
1. Uanamke wake

2. Utaifa wake na

3. Mtu atakayepambana naye (Tundu Lissu) Mtanganyika kwa ajili ya u - Rais wa Tanganyika

Huyu Raia wa nchi nyingine, taifa la kigeni la Zanzibar hawezi kuwa Rais wa nchi isiyo yake ya Tanganyika..!!

Itakuwa ni ujuha uliopitiliza kama Watanganyika tutaruhusu hili kuendelea kutokea...

Kwa hili hata huko CCM wanalijua na linawaumiza pia..

Nina hakika hata wao hawako tayari kuli ruhusu hili kutokea.!

Wewe subiri tu utauona mtifuano wake!
Yetu macho, 2015 Kikwete aliingia na jina la Membe wajumbe wakalikataa wakaanza kuimba wana imani na Lowassa ila bahati ikamwangukia Magufuli.
 
Hilo la kutokukubalika ndiyo itakuwa kigezo kikuu kutokushinda uchaguzi ukiwa huru na haki.
Watanzania walikuwa wanamkubali mwanzoni.Lakini sasa hakubaliki na watanzania walio wengi.
CCM haikubaliki mijini tu lakini vijijini siyo kama inakubalika ila huwa hakuna vyama Mbadala. Nimetembea vijiji vingi sana Tanzania. Ukiondoa kilimanjaro, Arusha na mbeya mikoamingine yote mijini CDM wanawanachama na wafuasi wengi lakini vijijini hakuna watu kabisa.Na sababu kubwa ya vijijini kutokubalika ni sababu ya hofu kwasabu vijijini watu wote huwa wanajuana kwahiyo ukiwa mpinzani ni rahisi kushughurikiwa. Kwa misingi hiyo Bado si rahisi sana CDM kufanya vizuri chaguzi hizi zinazokuja, mijini watapata kura nyingi na viongozi wengi ila vijijini wasahau
 
Mjadala Wa hovyo sana huu. Hivi Samia ashindwe kwa tume ipi ya uchaguzi? Kura za nani zitakazohesabiwa za kumuondoa Samia madarakani. Polisi gani atakayesimamia vituo vya uchaguzi kuwazuia CCM kufanya wanavyotaka?. Samia labda akataliwe na CCM wenzie lakini siyo kwenye sanduku la kura. Tena, kwa taarifa yenu, kutokana na hizo kasoro mlizosema anazo, cjui, mwanamke, mzanzibar, ameuza Loliondo na Bandari, mnampa hasira tu za kushinda kwa kishindo kikuu km Kagame. Mana ni kuamua tu ngapi zitangazwe. Atangatazwa ameshinda kwa 99.9% ili kuwafunga midomo watu waliofikiria hatachaguliwa na CCM itatamba vibaya kwa ujambazi huo ktk uchaguzi. Mnaishi humu humu na hamuoni hali iliyopo, tena ni ya muda mrefu tu?
usiongee kama chiriku, wewe unjua undani wa anaowaamini watamlinda? Unadhani hao hawana uchungu na tanganyika yao? Mioyo ya watu ni misitu mikubwa..........wanaweza kumgeuka wakasema aliyesinda atangazwe.....
 
1. Hapa wa dini yake watamkataa katu milele
2. Ile kuuza mali za tanganyika akaacha za zanzibar, katu watanganyika hawatampa kura

Lastly yote uliyoandika ni madini matupu, ningelitamani story kama hii iingie tweeter isomwe dunia nzima ya watanganyika na ndugu waislamu....................Mwanamke Mh! hawezi kuwa kichwa cha wanaume! kwenye dini ile yetu
Mnahangaika sana tu Samia ni mpaka 2030...
 
Back
Top Bottom