President Samia on a panic mode

Lissu kabisa!!! Hakuna mtu hapo, bora Samia aisee

..kwenye nchi za wenzetu wanachagua mtu smart kuwa Raisi.

..Tundu Lissu ana akili kuliko Samia Suluhu.

..Lissu alikuwa mwanafunzi bora kitivo cha Sheria.

..Samia alipata division 0 mtihani wa form 4
 
watanazania wamesahau kuwa kwamba hatuna democrasia
 
Sijawaona mimi, hao watakuwa Waislam jina, siyo Waislam wa kuufata Uislam. Mwenye kuufata Uislam wavchakujiuza hata kuuona mwili wqake hutouona maisha yake.

Wewe naona upo ndani ya mada, au siyo?
 
Huo mfumo siyo kwa waislamu tu hata kwenye ukristo wa kweli usio wa mungu mwenye nafsi 3 ni hivyo hivyo...kamwe mwanamke hatakiwi kumwongoza mwanaume.
Kwakuwa mwanamke hana ubongo au ?
 
Power is power let her use it .
 
Problem is, jambo kama hilo haliwezi kutokea, katiba itamfunga with other rules. Labda msajili aje na jambo lingine
 
Mimi nadhani ndani ya chama cha lisu ndio kuna waliweka panic mode .. lisu anajinasibu kwamba atagombea wakati hakuna kikao kilichompitisha huo uhakika anaoupata unatoka kwa nani ?! Mwenyeketi wake je ana uhakika hana nia ?!
Alisema atagombea but akipata ridhaa ndani ya chama, hakusema atagombea wihout chama kumruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…