Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa anamugopaje lisu wakati hakubaliki?Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao walikua msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.
Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).
Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.
Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.
Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.
Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.
Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.
Quinine, an independent thinker.
Toa neno MkuuNatamani nitoe neno Ila bao la mkono ndiyo linanikata maini
Hata system haimtaki, rejea msigano wake na Simon Sirro. Pamoja na katiba kumtaka yeye ndiye achukue hiyo nafasi kipimdi kile, lakini ni kama wazee wa mfumo hawakumtaka na walikuwa tayari kuvunja katiba. Kumbuka, ni military Seniority ndiyo ilipelekea yeye kuchukua ofisi, if not that the rest walikiwa tayari kuvunja katiba1. Hapa wa dini yake watamkataa katu milele
2. Ile kuuza mali za tanganyika akaacha za zanzibar, katu watanganyika hawatampa kura
Lastly yote uliyoandika ni madini matupu, ningelitamani story kama hii iingie tweeter isomwe dunia nzima ya watanganyika na ndugu waislamu....................Mwanamke Mh! hawezi kuwa kichwa cha wanaume! kwenye dini ile yetu
Nafikiri nilishawahi kutoa maoni yangu juu ya utawala wa Magufuli hapa hapa JF.Huu uzi wa kujifariji ila Mama Samia ni rais hadi 2030. Tumuombee uzima tu. Hakuna namna ambayo Mama Samia kama mgombea urais kupitia CCM akashindwa na Lissu au mgombea mwingine yeyote. Na CCM kumkataa mwenyekiti wao na rais ambaye bado yuko madarakani HAIWEZEKANI ndo maana CCM iliamua Rais ndo awe mwenyekiti pia. Kumletea figisu mwenyekiti ni jambo hatari zaidi kwa mwanaCCM endapo atagundulika.
Kwa maelezo haya hakuna haja ya kupoteza mda kwenda kupanga foleni kupiga kura ni dhahiri kuwa hakuna uchaguzi bali viini macho na mshindi anajulikana 🙌Mjadala Wa hovyo sana huu. Hivi Samia ashindwe kwa tume ipi ya uchaguzi? Kura za nani zitakazohesabiwa za kumuondoa Samia madarakani. Polisi gani atakayesimamia vituo vya uchaguzi kuwazuia CCM kufanya wanavyotaka?. Samia labda akataliwe na CCM wenzie lakini siyo kwenye sanduku la kura. Tena, kwa taarifa yenu, kutokana na hizo kasoro mlizosema anazo, cjui, mwanamke, mzanzibar, ameuza Loliondo na Bandari, mnampa hasira tu za kushinda kwa kishindo kikuu km Kagame. Mana ni kuamua tu ngapi zitangazwe. Atangatazwa ameshinda kwa 99.9% ili kuwafunga midomo watu waliofikiria hatachaguliwa na CCM itatamba vibaya kwa ujambazi huo ktk uchaguzi. Mnaishi humu humu na hamuoni hali iliyopo, tena ni ya muda mrefu tu?
Hao walopita wangapi walishinda?Hivi huyu mama kwanini ameshika tadi kugombea mwakani??
Aache amalize muda wake Urais wa URITHI akapunzike KIZIMKAZI.
hana kibali hakubaliki ,hatashinda urais wake utakuwa wa DAMU.
samia imetosha.
Samia hata hawafikirii hao kina Lissu labda kianzishwe chama kingine chenye mgombea ambaye bado hajajulikana.Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.
Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).
Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.
Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.
Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.
Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.
Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.
Quinine, an independent thinker.
Usimlishe Lissu maneno. Aliulizwa na waandishi kuwa jee atagombea Urais 2025 naye akawajibu kuwa kama chama chake kikimpitisha atagombea,Mimi nadhani ndani ya chama cha lisu ndio kuna waliweka panic mode .. lisu anajinasibu kwamba atagombea wakati hakuna kikao kilichompitisha huo uhakika anaoupata unatoka kwa nani ?! Mwenyeketi wake je ana uhakika hana ni
Mkuu nimeandika,Umesahau na tuhuma za kuuza maliasili za watanganyika.
CCM na wenyewe hawatumii akili, hivi sasa wananadi kuwa itatolewa fomu moja ya urais,Angeilinda heshima yake kama angekubali kuwa yeye alikuwa ni Rais wa mpito kuelekea Rais atakayechaguliwa na umma. Sasa amejawa na tamaa, na kuamini anaweza kuchaguliwa, wakati kwa muda mfupi amefanya madudu mengi ikiwemo kupora rasilimali za nchi kwa maslahi yake binafsi, wanafamilia na marafiki zake waliowezesha uharamia wa kuporwa kwa rasilimali za Tanganyika.
Huo mfumo siyo kwa waislamu tu hata kwenye ukristo wa kweli usio wa mungu mwenye nafsi 3 ni hivyo hivyo...kamwe mwanamke hatakiwi kumwongoza mwanaume.Kwani Tanzania si unaongozwa katika mfumo wa kikiristo (Dini na siasa tofauti) ,katika mfumo wa uislam mwanamke hakubaliwi kuongoza wanaume yaani kuwa kiongozi mkuu
Anafukuzwa uanachama moja kwa moja.Huu uzi wa kujifariji ila Mama Samia ni rais hadi 2030. Tumuombee uzima tu. Hakuna namna ambayo Mama Samia kama mgombea urais kupitia CCM akashindwa na Lissu au mgombea mwingine yeyote. Na CCM kumkataa mwenyekiti wao na rais ambaye bado yuko madarakani HAIWEZEKANI ndo maana CCM iliamua Rais ndo awe mwenyekiti pia. Kumletea figisu mwenyekiti ni jambo hatari zaidi kwa mwanaCCM endapo atagundulika.
Kwa sheria hipi ....waza tenaBado ana chance
Mfano,
Msajili kulazimisha vyama vyote vya siasa kuweka mgombea urais kutoka Zenj na lazima awe mwanamke...
Hii unaweza kutumika kama njia ya kudumisha umoja wa kitaifa, na kuzingatia jinsia katika demokrasia.
vyama vyote vinaweza vikaelekezwa hivyo kwa amri au vifutwe.
Hilo ni tobo tu nawasanua😂
Mwenye akili timamu hawezi kuuliza swali la aina hiyo.Mkuu nimeandika,
“Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini wananchi Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo”.
Ngoja tusubiri maana kwa muda mfupi tu raslimali alizouza ni zaidi ya marais waliodumu kwa vipindi viwili vya miaka 10.Angeilinda heshima yake kama angekubali kuwa yeye alikuwa ni Rais wa mpito kuelekea Rais atakayechaguliwa na umma. Sasa amejawa na tamaa, na kuamini anaweza kuchaguliwa, wakati kwa muda mfupi amefanya madudu mengi ikiwemo kupora rasilimali za nchi kwa maslahi yake binafsi, wanafamilia na marafiki zake waliowezesha uharamia wa kuporwa kwa rasilimali za Tanganyika.