President Samia on a panic mode

Mimi nadhani ndani ya chama cha lisu ndio kuna waliweka panic mode .. lisu anajinasibu kwamba atagombea wakati hakuna kikao kilichompitisha huo uhakika anaoupata unatoka kwa nani ?! Mwenyeketi wake je ana uhakika hana nia ?!
 
Sasa anamugopaje lisu wakati hakubaliki?
 
Hata system haimtaki, rejea msigano wake na Simon Sirro. Pamoja na katiba kumtaka yeye ndiye achukue hiyo nafasi kipimdi kile, lakini ni kama wazee wa mfumo hawakumtaka na walikuwa tayari kuvunja katiba. Kumbuka, ni military Seniority ndiyo ilipelekea yeye kuchukua ofisi, if not that the rest walikiwa tayari kuvunja katiba
 
Tujiulize yule mwanamme aliefariki na huyu mwanammke aliopo hivi sasa nani bora? Swali hili hasa kwa viongozi wa chadema. maana hali ya mbeya ya juzi ingalikuwa enzi zile hadithi ingalikuwa nyengine, tungalikuwa na mambolezi ya kitaifa. au UONGO NASEMA JAMANI?
 
Nafikiri nilishawahi kutoa maoni yangu juu ya utawala wa Magufuli hapa hapa JF.
 
Kwa maelezo haya hakuna haja ya kupoteza mda kwenda kupanga foleni kupiga kura ni dhahiri kuwa hakuna uchaguzi bali viini macho na mshindi anajulikana 🙌
 
Hivi huyu mama kwanini ameshika tadi kugombea mwakani??

Aache amalize muda wake Urais wa URITHI akapunzike KIZIMKAZI.
hana kibali hakubaliki ,hatashinda urais wake utakuwa wa DAMU.
samia imetosha.
Hao walopita wangapi walishinda?
 
Samia hata hawafikirii hao kina Lissu labda kianzishwe chama kingine chenye mgombea ambaye bado hajajulikana.
 
Mimi nadhani ndani ya chama cha lisu ndio kuna waliweka panic mode .. lisu anajinasibu kwamba atagombea wakati hakuna kikao kilichompitisha huo uhakika anaoupata unatoka kwa nani ?! Mwenyeketi wake je ana uhakika hana ni
Usimlishe Lissu maneno. Aliulizwa na waandishi kuwa jee atagombea Urais 2025 naye akawajibu kuwa kama chama chake kikimpitisha atagombea,
 
CCM na wenyewe hawatumii akili, hivi sasa wananadi kuwa itatolewa fomu moja ya urais,

SWALI, ni lini Samia aliomba kupigiwa kura na na mkutano mkuu, na kupitishwa kugombea urais kupitia CCM? Alipitishwa JPM ndie akamteua kuwa mgombea mwenza, hakupigiwa kura,

Hivyo ilitakiwa akimaliza kipindi hiki achukue fomu, aombe ridhaa ya chama, ili ashindanishwa na wanachama wengine,

Hata hii ya kuita awamu ya sita ni njia ya kuaaminisha watu kuwa alichaguliwa awamu ya kwanza hivyo amalizie ya pili,

Lakini kiuhalisia hii bado ni awamu ya Tano kipindi cha pili,
 
Kwani Tanzania si unaongozwa katika mfumo wa kikiristo (Dini na siasa tofauti) ,katika mfumo wa uislam mwanamke hakubaliwi kuongoza wanaume yaani kuwa kiongozi mkuu
Huo mfumo siyo kwa waislamu tu hata kwenye ukristo wa kweli usio wa mungu mwenye nafsi 3 ni hivyo hivyo...kamwe mwanamke hatakiwi kumwongoza mwanaume.
 
Anafukuzwa uanachama moja kwa moja.
 
Kwa sheria hipi ....waza tena
 
Mkuu nimeandika,

“Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini wananchi Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo”.
Mwenye akili timamu hawezi kuuliza swali la aina hiyo.

Pale uwanja wa ndege kuna Swissport yupo tangu 1995 tangu enzi za Mkapa, kwa hiyo kauziwa uwanja wa ndege?.
 
Ngoja tusubiri maana kwa muda mfupi tu raslimali alizouza ni zaidi ya marais waliodumu kwa vipindi viwili vya miaka 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…