President Samia on a panic mode

Hivi huyu mama kwanini ameshika tadi kugombea mwakani??

Aache amalize muda wake Urais wa URITHI akapunzike KIZIMKAZI.
hana kibali hakubaliki ,hatashinda urais wake utakuwa wa DAMU.
samia imetosha.
Inapoteza nguvu zako hata kuwaza namna hii, anafanya kampeni ya kivitendo yenye kugusa wananchi moja kwa moja wa huko mikoani.

Sisi tunaoshinda nyuma ya keyboard humu mijini tutaendelea kulia pengine mpaka siku yetu ya mwisho juu ya uso wa dunia.
 
Mwandishi wa uchambuzi huu bila shaka hamjui Lissu. Kuamini kuwa, kuna mtu amepanga kumtisha Lissu kugombea Urais kwa purukushani za polisi, ni kumtomjua Lissu.

Kila aliye kwenye siasa za Tanzania anajua kama hakuna cha kumtisha Lissu anapotaka lake. Kwa wakati ambao kila mtu alikuwa akimwogopa Magufuli, Lissu alikuwa akimtaja kama Dikteta Uchwara.

Hata baada ya jaribio la kutaka kumuua, ila bado aligombea Urais huku akiwa katikati ya mwendelezo wa matibabu yake. Hivyo, kuamini atatishwa na Polisi ili asogombee Urais ni kutomjua Lissu na siasa za Tanzania.

Pia, kuamini kuwa, Nape na January ni wajuzi sana kwenye Uchaguzi Mkuu, nadhani ni kujidanganya, hasa kwa mazingira ya sasa yenye dhamira ya kuleta angalau uchaguzi unaoweza kuleta imani kuwa ni wa haki.

January na Nape wameshawahi kukimbia uwanja wa zoezi la kupigiwa kura kwenye viti vya Ubunge kwa kutumia hila mbalimbali, ambazo walio kwenye siasa za nchi yetu wanazijua. Hawa wawili, naona wanajazwa tu sifa kubwa.

Ova
 
Na wameshaichangia hiyo form moja zaidi ya Tsh. 200 na michango inaendelea.
 
Hilo joka lina wategemea
1)Raia feki wenzake kina ROSTAM AZIZI
2)Polisi
3)pesa
Hizi ndiyo silaha tatu za hilo JOKA LENYE LAANA
 

Attachments

  • 1723627343859.jpg
    119.2 KB · Views: 3
Hawezi kuwa na Utulivu hata kidogo.
Mpaka leo wanazozana nani awe Makamu mwenyekiti wa Chama maana amewaacha bila kitarajia.

Waliobaki hawana ushawishi labda Mzee Lukuvi, lakini anamuhofia mzee Lukuvi kwakumuweka pale anamsafishia njia .
 
Katiba ya Jamhuri uliwahi hata kuipitia kidogo? au ni kitu kigeni
 
Kushinda kwa kuiba ndiyo hofu yenyewe, kwa nini aibe kama anajiamini, kwanini atumie polisi kushinda?

Kama wewe ni mwanaume na unategemea kulisha familia kwa kuiba lazima utaishi kwa hofu tu.
 
SAMIA hata usimame na mimi,nitachaguliwa Mimi-but Tanzania ukisha kuwa kwwnye power kushinda umuhitaji Kikwete au Makamba just Mtangaza matokeo tu.
Na uzuri ni kuwa Watanzania wapo kama makondoo,hakuna cha ajabu-SAMIA atashonda kwa kishindo.
 
Mimi nadhani ndani ya chama cha lisu ndio kuna waliweka panic mode .. lisu anajinasibu kwamba atagombea wakati hakuna kikao kilichompitisha huo uhakika anaoupata unatoka kwa nani ?! Mwenyeketi wake je ana uhakika hana nia ?!
Lissu katia nia tu alisema iwapo watampendekeza atagombea

 
Tumuulize FaizaFoxy na Malaria 2 kama kwenye utawala wa sharia mwanamke anaweza kuwa kiongozi au amiri jeshi??
Kwa kukujuza tu, Uislam haujawahi kubaguwa kati yamwanamme na mwanamke kwa lolote lile zaidi ya baiolijia yaoya kiasili tu.

Uislam ndiyo uliokuja kufunguwa macho watu duniani ndipo mwanamke akaanza kupewa heshima kwa utu wake siyo kwa jinsi yake.

Wanawake katika Uislam wana historia kubwa sana kuliko ujuwavyo. Ukiona kuna mafundisho ya kumdunisha mwanamke elewa kuwa hayo siyo ya Kiislam.

Umewahi kumsikia Fatma Al Fikhri?
 
Atashinda Kwa kutimiza matarajio ya walio wengi au atashindwa Kwa kutotimiza kiu walio nayo wananchi juu ya uongozi wake
 
Umeupiga mwingi sana Mr. Ni kama walimwengu hawa wamehama taifa hili na kuandika tabia za mataifa ya ulaya huko. Ukweli ni labda atatikiswa nafsini na kuongezewa dhambi za kuiba na kufanya machafu mengi kushinda uchaguzi.

Ila kwa nguvu hii ya mitandaoni tena ya watu wachache tu hakuna namna tutatoboa kuukata mbuyu.
 
Na huu ndio ukweli japo mchungu kwa baadhi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…