President Samia on a panic mode

Ni kweli tupu
 
Nyie wapinzani nao mmejawa na tamaa na unafiki tu, kwanini msiungane muache tofauti zenu ili kuing'oa CCM? Mna tamaa sana kila mmoja anataka kuwa rais, ni suala dogo sana endapo mpo serious kweli.
 
Labda sisiemu wenzie wamkatae ila watanzania hatuna nongwa kabisaa...! hii nchi ya kufikirika na watu wake ni kuwaburuzaa tuu ndo maisha tuliyozoea..!
 
Mwanamke huwa ni Imama, siyo imamu.

Hivi Nyerere, Mkapa, Magufuli walikuwa maimamu au wachungaji wa kanisa lipi? Wao ni wanawake?
Ni msikiti gani hapa Tanzania unaongozwa na imamu mwanamke oh sorry una ongozwa na imama.
 
Na uraisi sio yeye anautaka ila watu wake mambo yao ili yaende wanaona ni lazima aendelee kuwa raisi
yani system ya sisiemu ndo inaamua nani akae pale
 
Reactions: Cpp
Mmeanza nyie kina marope na Mzee wa goli la mkono
 
Na uraisi sio yeye anautaka ila watu wake mambo yao ili yaende wanaona ni lazima aendelee kuwa raisi
Mara zote ndivyo inavyokuwaga !
Popote pale Duniani !
Wapambe hawakosekani !
Sometimes wanaitwa Wapambe Nuksi !
 
Reactions: Cpp
🤣

Huyo msajiri anatokea zanzibar pia?

Mbona atahama bara!
 
Nyie wapinzani nao mmejawa na tamaa na unafiki tu, kwanini msiungane muache tofauti zenu ili kuing'oa CCM? Mna tamaa sana kila mmoja anataka kuwa rais, ni suala dogo sana endapo mpo serious kweli.
Wapinzani wepi unawasema kina Zitto kina Lipumba?
 
Kairudie kusoma tena, usisome Sheria yaa vyama. Soma katiba. Msajili kaanzishwa kwenye katiba kaenda kumalizikia kwenye Sheria. Ikifika kuputisha wagombea wala hahusiki kabisa. Yeye sio time huru. Japo uhuru wake una mashaka lakini sio tume.
Mkuu unajua sehem ulipo lakini...
Kipi kimewah shindikana....

Hilo likija kwa minajili ya kulinda tunu za taifa utaleta technicality za Katiba?

Si watatudunda watuue kama alivyodundwa Sugu😂
 
Kama 2015 lowasa hakushinda uchaguzi basi miaka 15 ijayo ni ngumu mara million 100 upinzani kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…