President Samia on a panic mode

Mabinti wa Ufalme wa Saudia (Princess') huwa wanalalamika kuishi kama wafungwa, sidhani kama uko sahihi
 
Mamlaka inatoka kwa Mungu, ajitulize, kama ana kibali kwa Mungu atakua rais, kama hana atarudi Kizimkazi na uzuri historia kashaindaka kwa East Africa.
 
Ngoja nitafakari, naona kama kuna ukweli! Ila ni vile Chadema wamesambaratika!
Hili swala hapa lilipofika wala siyo la Chadema bali nimla kila Mtanganyika mwenye akili timamu. Tukisubiri Chadema tutachelewa sana saa ya ukombozi ni sasa, Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika.
 
Kwani Tanzania si unaongozwa katika mfumo wa kikiristo (Dini na siasa tofauti) ,katika mfumo wa uislam mwanamke hakubaliwi kuongoza wanaume yaani kuwa kiongozi mkuu
mbona bangladesh ni muslim country lakini iliongozwa na akina mama kwa muda mrefu?
 
Kura tutapiga

Kama uchaguzi utakuwa huru na haki hapenyi.hata ukijanini Hana ubavu wa kupenya hata akiwekwa na lusinde.

Shida ni kwamba atapenya Kwa nguvu ga Dola and rigging. Hilo Wana uhakika nalo.
Lusinde yupi huyo? Tumjuaye keshatangulia mbele za haki.
 
UHalisia upo mbali sana, kwenye nchi zinzofauta sharia, mf afganistan, SA n.k mwanmke kule ni practically slave, hawana uhuru.
 
Hakuna kitu kinaniboa kama kukithiri kwa wizi na kupotea kwa watu awamu hii ya mama yenu.
 
..Samia na CCM wana FEDHA nyingi mno za kampeni.

..hata kama mgombea wao ni mbovu, lakini fedha, rasilimali, msaada wa vyombo vya dola, ni advantage kubwa sana kwa CCM wakati wa uchaguzi.

.
Kweli pesa chafu wanazo hasa za kuuza bandari na Loliondo lkn amani kushinda hawana
 
Kwa sheria gani atatoa amri hiyo?
 
Hilo haliwezekani
 
Dhambi kubwa katika maisha ya mtu mmoja mmoja au kampuni au taasisi ni kukata tamaa kusema wewe huwezi kufikia level ya mpinzani wako. Vita ni vita mura never give up.
 
Huku system inaoarangayika, kule ccm chali, huku wapinzani wamechachamaa, kule wananchi wanasema hatukutaki.

Aisee lazima ujikute ktk hali ngumu sana...hivi kile kipigo cha Mbeya kilitokana na nini hasa?..

Kila mtu anajiuliza hili swali.
 
Watetezi mna kazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…