President Samia on a panic mode

Kama unajua kila kitu kiko chini yako kuwa ije mvua lije jua utashinda, sasa kinachokufanya uanze kutuma polisi kuvuruga mikutano ya mpinzani wako ni nini kama sio hofu ni kitu gani.
 
Isingekuwa unatumia fake ID kule X hata wewe ungechapisha kule, shida ni hujaficha identity.
 

Ndugu Quinine, huyu bibie panga pangua hawezi kuruhusiwa wala kupitishwa kugombea njoo 2025..!!

Nakuambia mtifuano wa mwaka 2015 ni cha mtoto ndani ya CCM iwapo watu wake watalazimisha kumpitisha huyu bibie mwaka kesho..

Ukiachilia mbali hizi sababu kuu tatu;
1. Uanamke wake

2. Utaifa wake na

3. Mtu atakayepambana naye (Tundu Lissu) Mtanganyika kwa ajili ya u - Rais wa Tanganyika

Huyu Raia wa nchi nyingine, taifa la kigeni la Zanzibar hawezi kuwa Rais wa nchi isiyo yake ya Tanganyika..!!

Itakuwa ni ujuha uliopitiliza kama Watanganyika tutaruhusu hili kuendelea kutokea...

Kwa hili hata huko CCM wanalijua na linawaumiza pia..

Nina hakika hata wao hawako tayari kuli ruhusu hili kutokea.!

Wewe subiri tu utauona mtifuano wake!
 
Unaweza kuwa na kila kitu powers zote lkn ukakosa hekima. Magu alikuwa navyo vyote lkn hakuwa na busara wenzake wakamzidi maarifa akafa kama sio kuuawa.
 
Queen of Sheba
 
2015 Kikwete aliingia na jina la Membe wajumbe wakakataa wakamtaka Lowassa ila bahati ikamwangukia Magufuli.
 
Yetu macho, 2015 Kikwete aliingia na jina la Membe wajumbe wakalikataa wakaanza kuimba wana imani na Lowassa ila bahati ikamwangukia Magufuli.
 
Hilo la kutokukubalika ndiyo itakuwa kigezo kikuu kutokushinda uchaguzi ukiwa huru na haki.
Watanzania walikuwa wanamkubali mwanzoni.Lakini sasa hakubaliki na watanzania walio wengi.
CCM haikubaliki mijini tu lakini vijijini siyo kama inakubalika ila huwa hakuna vyama Mbadala. Nimetembea vijiji vingi sana Tanzania. Ukiondoa kilimanjaro, Arusha na mbeya mikoamingine yote mijini CDM wanawanachama na wafuasi wengi lakini vijijini hakuna watu kabisa.Na sababu kubwa ya vijijini kutokubalika ni sababu ya hofu kwasabu vijijini watu wote huwa wanajuana kwahiyo ukiwa mpinzani ni rahisi kushughurikiwa. Kwa misingi hiyo Bado si rahisi sana CDM kufanya vizuri chaguzi hizi zinazokuja, mijini watapata kura nyingi na viongozi wengi ila vijijini wasahau
 
usiongee kama chiriku, wewe unjua undani wa anaowaamini watamlinda? Unadhani hao hawana uchungu na tanganyika yao? Mioyo ya watu ni misitu mikubwa..........wanaweza kumgeuka wakasema aliyesinda atangazwe.....
 
Mnahangaika sana tu Samia ni mpaka 2030...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…