President Samia on a panic mode

President Samia on a panic mode

Nyie wapinzani nao mmejawa na tamaa na unafiki tu, kwanini msiungane muache tofauti zenu ili kuing'oa CCM? Mna tamaa sana kila mmoja anataka kuwa rais, ni suala dogo sana endapo mpo serious kweli.
Uwezekano wa kuungana hakuna kwa sababu baadhi ya hivyo vyama (most of them) ni vya mchongo, yaani vinamilikiwa na sisiemu na vinafanya kazi ya mmiliki
 
Kura tutapiga

Kama uchaguzi utakuwa huru na haki hapenyi.hata ukijanini Hana ubavu wa kupenya hata akiwekwa na lusinde.

Shida ni kwamba atapenya Kwa nguvu ga Dola and rigging. Hilo Wana uhakika nalo.
uchaguzi ni huru na haki unaposhinda, wewe pambana keep going bro
 
Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.

Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).

Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.

Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.

Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini wananchi Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.

Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.

Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.

Quinine, an independent thinker.
Hii post ya kusadikika sana! Kwanza, Watanzania lazima tubadili mindset zetu, hivi ni wapi iliandikwa hao waliondolewa uwaziri walikuwa na hatimiliki za madaraka ya umma? Mawaziri wangapi waliwahi kushika hizo nafasi?

Pili, hiyo 32% imetoka source ipi ya kuaminika? 3. Mhe. Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania huo ukaburu wa Utanganyika na Uzanzibari hauna nafasi na haitafanya chochote .

4. Sioni uthibitisho wa kisayansi wa kitisho chochote cha Lissu. 5. Kufikiria gender katika uongozi sioni pia, najua Mhe. Rais anao uwezo wa uongozi kama binadamu. 6. Usipoteze muda hakuna wa kumtisha Amiri Jeshi Mkuu. 🙏🙏🙏
 
Kama wewe ni chawa wa mama jipange kwa shughuli nyingine ya kujiingizia kipato 2025 siyo mbali na kama hutaki endelea kilio kitakuumbua
 
Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.

Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).

Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.

Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.

Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini wananchi Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.

Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.

Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.

Quinine, an independent thinker.

..Samia na CCM wana FEDHA nyingi mno za kampeni.

..hata kama mgombea wao ni mbovu, lakini fedha, rasilimali, msaada wa vyombo vya dola, ni advantage kubwa sana kwa CCM wakati wa uchaguzi.

.
 
Unachosahau kwenye Urais ccm haitegemei kushinda kwa kura halisi bali majumuisho.

Mshindi akishatangazwa matokeo hayapingwi mahakamani.

Msipoteze muda bure, bila kuwabinya ccm kwenye hivyo vipengele viwili ni kazi bure mtachaguwa Wabunge tu lakini Samia mitano hili wala halina mjadala.

Tusijioe imani kwa kitu ambacho hakiwezekani, Tiss wapo mpaka Nec halafu unamuangusha vipi Rais wao.

Ccm na kile chama cha kikomunist cha China ni mapacha hawana tofauti yoyote.
 
Mjadala Wa hovyo sana huu. Hivi Samia ashindwe kwa tume ipi ya uchaguzi? Kura za nani zitakazohesabiwa za kumuondoa Samia madarakani. Polisi gani atakayesimamia vituo vya uchaguzi kuwazuia CCM kufanya wanavyotaka?. Samia labda akataliwe na CCM wenzie lakini siyo kwenye sanduku la kura. Tena, kwa taarifa yenu, kutokana na hizo kasoro mlizosema anazo, cjui, mwanamke, mzanzibar, ameuza Loliondo na Bandari, mnampa hasira tu za kushinda kwa kishindo kikuu km Kagame. Mana ni kuamua tu ngapi zitangazwe. Atangatazwa ameshinda kwa 99.9% ili kuwafunga midomo watu waliofikiria hatachaguliwa na CCM itatamba vibaya kwa ujambazi huo ktk uchaguzi. Mnaishi humu humu na hamuoni hali iliyopo, tena ni ya muda mrefu tu?
atashindwa kwenye kapu la mkutano mkuu maalum. kwa heshima yake hapungukiwi na chochote akiamua kuwaachiea wengine, itampa furaha na amani ya wakati wote wa maisha yake.
 
..Samia na CCM wana FEDHA nyingi mno za kampeni.

..hata kama mgombea wao ni mbovu, lakini fedha, rasilimali, msaada wa vyombo vya dola, ni advantage kubwa sana kwa CCM wakati wa uchaguzi.

.
Kwenye nafasi ya Urais wanafanya kampeni kama formality tu na kuwasapoti wagombea ubunge wao lakini kura za Urais matokeo yameshaandaliwa na yakitangazwa hayapingiki popote.

Watu wasipoteze muda wao bure, hivi vipengele vya mtego vya ccm ndio inatakiwa nguvu kubwa kuvipinga na tunataka tume huru ya uchaguzi siyo tume huru jina.
 
atashindwa kwenye kapu la mkutano mkuu maalum. kwa heshima yake hapungukiwi na chochote akiamua kuwaachiea wengine, itampa furaha na amani ya wakati wote wa maisha yake.
Hiyo aliweza Mandela peke yake hakumaliza hata muda wa muhura wa kwanza akamuachia Thabi Mbeki.

Mama Urais anaupenda hilo ndio unapaswa kujuwa, na tumbuwa tumbuwa yake amewaondowa anaoona wanamletea kiwingu.
 
..Mama Samia anataka kugombea peke yake.

..yaani hata wapinzani wasiweke mgombea ktk nafasi ya Rais wa muungano.

..Freeman Mbowe na Tundu Lissu watapigwa vita kali sana kuanzia sasa hivi mpaka uchaguzi Mkuu. Lengo ni kuwakatisha tamaa ili Samia agombee Uraisi peke yake.
 
Kwanza huyo Lissu hatujui hali yake iko vipi kwani naye kisago alikipata toka kwa IGP mtarajiwa.
 
Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki.

Kuna hofu kuu 3 zilizo mbele yake kwa sasa ambazo ni, 1. Tetesi ya Tundu Antipas Lissu kugombea, 2. Womanism(Gender) na 3. Nationalism (Origin).

Uhalisia; wanawake wengi huwa hawapendani watakuchekea usoni, wataambatana nawewe kwenye kampeni lkn ukifika wakati wa kuchagua watamchagua Mwanamme. Kwa mila na desturi za Mwafrika ni nadra sana kuongozwa na mwanamke, hili hata vitabu vya dini vimetamka wazi. Hiki kitakuwa kigezo muhimu hasa mpinzani wake akiwa Mwanamme.

Kitu kingine ambacho nakiona ni hofu kwake ni Origin yake (Mzanzibari), ukubali ukatae wakaazi wa Tanzania Bara (Tanganyika) ni wengi kuliko wa Zanzibar, hivyo wakati wa uchaguzi hiki kitakuwa kigezo kingine hasa mpinzani wake akitoka upande wa Bara.

Lissu kwa vyovyote vile atagombea ni threat nyingine. Drama zote zilizofanywa na polisi lengo sio kuwatisha wananchi bali ni kumtisha Lissu asigombee. Samia na CCM wanajua Lissu huwa hakopeshi watawajibu nini wananchi Lissu atakapowauliza kwanini kauza Bandari, kwa nini kauza Loliondo.

Tetesi tunazozipata mtandaoni kuwa kukubalika kwake ni chini ya 32% sio za kubeza ukizingatia hali halisi ya maisha waliyonayo wananchi walio wengi.

Sababu hizi ndizo zinamfanya Samia na CCM wawe na hofu ya uchaguzi.

Quinine, an independent thinker.
Inabidi uwe mpumbavu sana kuamini kwamba Samia atapata tabu kushinda uchaguzi wa 2025.
 
Bado ana chance
Mfano,

Msajili kulazimisha vyama vyote vya siasa kuweka mgombea urais kutoka Zenj na lazima awe mwanamke...

Hii unaweza kutumika kama njia ya kudumisha umoja wa kitaifa, na kuzingatia jinsia katika demokrasia.

vyama vyote vinaweza vikaelekezwa hivyo kwa amri au vifutwe.

Hilo ni tobo tu nawasanua😂
Ni kweli kabisa mkuu, li msajili ilivyokuwa la hovyo linaweza kubadili kanuni eti ili kuwe na sawa uwanjani.
 
1. Hapa wa dini yake watamkataa katu milele
2. Ile kuuza mali za tanganyika akaacha za zanzibar, katu watanganyika hawatampa kura

Lastly yote uliyoandika ni madini matupu, ningelitamani story kama hii iingie tweeter isomwe dunia nzima ya watanganyika na ndugu waislamu....................Mwanamke Mh! hawezi kuwa kichwa cha wanaume! kwenye dini ile yetu
Kuanzia mwaka 1995 wakati wa mfumo wa vyama vingi ulipoanza hakuna kiongozi yeyote ambaye amewahi kukubalika by 60%. Na hivyo ndivyo dunia ilivyo.

Hata Mkapa alikuwa hakubaliki kabisa dhidi ya Lyatonga Mrema, lakini mjadala (political discussion) iliyofanywa pale Kilimanjaro Hotel chini ya Business Times ya Bernard Palela (RIP), Mkapa aliibuka kidedea na watu walamuelewa.

Haijalishi Rais Samia ni mwanamke Muislamu kutoka Zanzibar, lakini ana makubwa yake mengi amefanya. Na hayo yanaweza kuwa na nguvu kuliko Uwanamke wake, Uzanzibari wake na Uislamu wake.
 
..ndio sehemu ya mkakati wao.

..Wamuongezee ulemavu mkubwa zaidi ili asishiriki siasa.
Nimegundua kuwa lile varangati lote target alikuwa Mh. Tundu Antipas Lissu. hao wengine ni mtego wa panya labda na Sugu kuna handwork ya Njiti wa mjengoni.
 
Back
Top Bottom