THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa.
Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania.
Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂
wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa hujuma sema wakazuia daaah!!!
Sa kweli ndio maana nimeamini Hii Nchi tumelaaniwa tumelaaniwa tumelaaniwa na Ndio Maana Samia yupo tayar kununua goli Kwa Millions ila Kuna shule hazina walimu na hospitali hazina wauguzi.
Pole Tanzania..
Serious watu wanataka kuandamana because of Matokeo ya Mpira ila kwao Maisha magumu hawataki kuandamana?
watu kutekwa hawataki kuandamana!!
Leo wapotayar kuwataja viongozi wanaotoa Rushwa Yanga ishinde ila kuwanyooshea vidole wanapokosea kwenye Mambo ya Msingi hawapo tayar!!!
#NikipataPassportNaondokaBongo
#Good night 🇵🇹