Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Yanga ndio wanaongoza kwa UswahiliSimba wamezidi uswahili swahili sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ndio wanaongoza kwa UswahiliSimba wamezidi uswahili swahili sana
Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa.
Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania.
Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂
wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa hujuma sema wakazuia daaah!!!
Sa kweli ndio maana nimeamini Hii Nchi tumelaaniwa tumelaaniwa tumelaaniwa na Ndio Maana Samia yupo tayar kununua goli Kwa Millions ila Kuna shule hazina walimu na hospitali hazina wauguzi.
Pole Tanzania..
Serious watu wanataka kuandamana because of Matokeo ya Mpira ila kwao Maisha magumu hawataki kuandamana?
watu kutekwa hawataki kuandamana!!
Leo wapotayar kuwataja viongozi wanaotoa Rushwa Yanga ishinde ila kuwanyooshea vidole wanapokosea kwenye Mambo ya Msingi hawapo tayar!!!
#NikipataPassportNaondokaBongo
#Good night 🇵🇹
Yaani ni shida ni kwikwi.Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa.

Umesahau Wazee wa Yanga walitishia kuandamana mpaka kwa Raisi Samia, jezi ya Mayele isipo rudishwa 😀 😀Hao wazee wamedhihilisha timu ya simba imejaa watu mbumbumbu tu. Na ndiyo maana hata Mangungu aliweza kushinda kirahisi, baada tu ya kumleta Caesar Manzoki siku ya uchaguzi wa klabu.
Hawa ndio wale Rage aliwaita mbumbumbu.Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa.
Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania.
Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂
wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa hujuma sema wakazuia daaah!!!
Sa kweli ndio maana nimeamini Hii Nchi tumelaaniwa tumelaaniwa tumelaaniwa na Ndio Maana Samia yupo tayar kununua goli Kwa Millions ila Kuna shule hazina walimu na hospitali hazina wauguzi.
Pole Tanzania..
Serious watu wanataka kuandamana because of Matokeo ya Mpira ila kwao Maisha magumu hawataki kuandamana?
watu kutekwa hawataki kuandamana!!
Leo wapotayar kuwataja viongozi wanaotoa Rushwa Yanga ishinde ila kuwanyooshea vidole wanapokosea kwenye Mambo ya Msingi hawapo tayar!!!
#NikipataPassportNaondokaBongo
#Good night 🇵🇹
Bikra ya masikioPole.
Lakini mie bado ni bikra
ahahahahaha
Fahamu kuwa wakiandamana kwa ajili ya mpira, wanaweza wasifanywe kitu au wakarushiwa vibomu viwili vitatu vya machozi, mambo yakaisha.Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa.
Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania.
Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂
wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa hujuma sema wakazuia daaah!!!
Sa kweli ndio maana nimeamini Hii Nchi tumelaaniwa tumelaaniwa tumelaaniwa na Ndio Maana Samia yupo tayar kununua goli Kwa Millions ila Kuna shule hazina walimu na hospitali hazina wauguzi.
Pole Tanzania..
Serious watu wanataka kuandamana because of Matokeo ya Mpira ila kwao Maisha magumu hawataki kuandamana?
watu kutekwa hawataki kuandamana!!
Leo wapotayar kuwataja viongozi wanaotoa Rushwa Yanga ishinde ila kuwanyooshea vidole wanapokosea kwenye Mambo ya Msingi hawapo tayar!!!
#NikipataPassportNaondokaBongo
#Good night 🇵🇹
bora umesema wewe, nchi hii bado sana.Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa.
Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania.
Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂
wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa hujuma sema wakazuia daaah!!!
Sa kweli ndio maana nimeamini Hii Nchi tumelaaniwa tumelaaniwa tumelaaniwa na Ndio Maana Samia yupo tayar kununua goli Kwa Millions ila Kuna shule hazina walimu na hospitali hazina wauguzi.
Pole Tanzania..
Serious watu wanataka kuandamana because of Matokeo ya Mpira ila kwao Maisha magumu hawataki kuandamana?
watu kutekwa hawataki kuandamana!!
Leo wapotayar kuwataja viongozi wanaotoa Rushwa Yanga ishinde ila kuwanyooshea vidole wanapokosea kwenye Mambo ya Msingi hawapo tayar!!!
#NikipataPassportNaondokaBongo
#Good night 🇵🇹
Asante. Kwa msaada wako nipo napanga safari mda huu Kuna msamaria mwema Jana alijitokeza kanisaidia.Njoo nikusaidie upate passport Halafu tuone Kama passport ndo njia ya kuondoka Tanzania
Mnooobora umesema wewe, nchi hii bado sana.
Nimeona mawazo Yako.Fahamu kuwa wakiandamana kwa ajili ya mpira, wanaweza wasifanywe kitu au wakarushiwa vibomu viwili vitatu vya machozi, mambo yakaisha.
Wakiandamana kwa mambo ya kisiasa, watapigwa risasi, mabomu kama ya Beirut, na wengine watawekwa ndani.
We unachagua kipi hapo?
Asante. Kwa msaada wako nipo napanga safari mda huu Kuna msamaria mwema Jana alijitokeza kanisaidia.
Kama una Neno kingine labda la kunihusia kabla sijaondoka Nchini.