Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu


Njoo nikusaidie upate passport Halafu tuone Kama passport ndo njia ya kuondoka Tanzania
 
Yaani ni shida ni kwikwi.
 
Basi tu akili za viongozi wa upinzani hazifanyi kazi, Kama wamegundua watanzania akili ao zimejaa usimba na uyanga na yeye angepita mulemule.
Wameshindwa na wazee wa zamani ambao walitumia michezo kufanya harakati za uhuru
 
Hao wazee wamedhihilisha timu ya simba imejaa watu mbumbumbu tu. Na ndiyo maana hata Mangungu aliweza kushinda kirahisi, baada tu ya kumleta Caesar Manzoki siku ya uchaguzi wa klabu.
Umesahau Wazee wa Yanga walitishia kuandamana mpaka kwa Raisi Samia, jezi ya Mayele isipo rudishwa 😀 😀
 
Hawa ndio wale Rage aliwaita mbumbumbu.
 
Fahamu kuwa wakiandamana kwa ajili ya mpira, wanaweza wasifanywe kitu au wakarushiwa vibomu viwili vitatu vya machozi, mambo yakaisha.

Wakiandamana kwa mambo ya kisiasa, watapigwa risasi, mabomu kama ya Beirut, na wengine watawekwa ndani.

We unachagua kipi hapo?
 
bora umesema wewe, nchi hii bado sana.
 
Njoo nikusaidie upate passport Halafu tuone Kama passport ndo njia ya kuondoka Tanzania
Asante. Kwa msaada wako nipo napanga safari mda huu Kuna msamaria mwema Jana alijitokeza kanisaidia.

Kama una Neno kingine labda la kunihusia kabla sijaondoka Nchini.
 
Nimeona mawazo Yako.
 
Asante. Kwa msaada wako nipo napanga safari mda huu Kuna msamaria mwema Jana alijitokeza kanisaidia.

Kama una Neno kingine labda la kunihusia kabla sijaondoka Nchini.

Nenda tu. Hauna matumizi ndugu yangu zaidi ya lawama
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AUTOMATICALY AKILI ZA KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA.

CAPO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…