Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

Jileusi tii linaloshindia mihogo na maandazi hata kinywa halikisafishi. Kanzu inanusha shombo la jasho lkn liko bize kuwatetea Hamas
Ni majinga sana! Sasa hivi yanapita kimya kimya humu utazani hayasomi thread na comments.
 


Very smart. Waliyakoroga wanyanywe wenyewe..
 
Ni majinga sana! Sasa hivi yanapita kimya kimya humu utazani hayasomi thread na comments.
Yanatawaza kwa maji machafu toka bonde la Msimbazi, yakidhani yanatia udhu kumbe yanatengua udhu. Majinga sana haya majitu.
 

Umechukua kamstari kamoja tu, na ku generalize maelezo yote! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.

Vipi kuhusu hilo sharti gumu lililotolewa na serikali ya Saudia la kuwataka hao Mayahudi kukubali kwanza kuanzishwa kwa Taifa Huru la Palestina na makao yake kuwa Yerusalemu kabla ya kuingia kwenye mahusiano ya kawaida!!
 
Ukiingia mtego wa Iran unakuwa zwazwa. Iran yeye anakuchochea tuu ila unadinywa peke yako. Dogo kaamua kuwa smart aisee.
 
Mnahisi haoni aljazeraa eeh washasoma nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…