Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Mimi na mengi inawezekana ni mapacha, tuliofanana kila kitu kasoro utajiri tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila madam anatupiga za kichwa......
Eti alikuwa anampenda sana na hatowahi kuja mpenda mwanaune kama alivyompenda.
🤣🤣🤣 Hayo maneno yamekaa kimchongo zaidi
 
Amini nakuambia.
Wanaume wenye pesa na majina huwa wanategwa na kuwindwa sana ila hawajui kuwa wanawindwa.

Mwanaume anaingia king mwenyewe, anaanza mchakato kumbe mtu ametegwa akategeka.
Dada angu wewe unawawindia viwanja vipi....umeshajiokotea mmoja?!!!
 
🤣
 
Sasa Cha ajabu nini hapo?kuonga au kiasi Cha pesa!!
Pesa huna wewe,wengine hizo ni vijisenti tu.
 
Ziko you tube.... nashindwa kuweka wananitafakarisha sana.



 
Tafuta pesa acha tabia za kimaskini kujadili waliofanikiwa, unakuta mtu kapanga chumba kama stoo kafanikiwa kununua bando, badala ya bando lile kulitumia kutafuta fursa mtandaoni anamjadili Mengi, Manji, MO na wengine wa level hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…