Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Kwahiyo mtu akitoa maoni yake maana yake anatumiwa na nchi washindani....🤔
 
Sensitive kwa sababu muhaya mwenzie Karamagi wa TICS kaondolewa bandarini au?
 
😂😂😂 Kama Unguja tu humuwezi ndio Kenya ahangaike na wewe?
Tukiachana na swala la kukwamisha malori yetu mara kwa mara mipakani kwao, pamoja na kuzuia biashara zetu kuingia kwao mara kwa mara wakati wao za kwao zinaingia kwetu mara kwa mara.

Ujenzi wa bomba la gesi kati ya Tanzania na Uganda waandamanaji wengi walikuwa wakenya.

Kuwaamisha wamasai kutoka Loliondo hadi Tanga, pia wandamanaji wengi walikuwa wakenya wakiongozwa na yule dada ambae bila shaka alikuwa anaitumia ardhi yetu kulishia maelfu ya ng'ombe zake.

Cha kushangaza wakenya wanapokuwa na mambo yao, hauwezi kukuta mtanzania anaingilia kuandamana.

Hao ni maadui zetu wa uchumi wa kudumu, wapo tayari kufanya lolote ili kutukwamisha, but trust me safari hii wamegonga mwamba na tumewashika pabaya kweli kweli wao na vibara wao.
 
Inshort....tushaingia cha kike!
 

Attachments

  • Screenshot_20230620-104742.png
    37.5 KB · Views: 2

Na ni mwezi katika wezi
 
Kama wewe ndo wanakutumia kufanya utetezi, basi upande wenu wa Waarabu hakuna wenye akili
 
Mbona yasemekana huyu mama amekula bilioni 2 ili atoe comments za kupinga huu mradi kwa sababu pale bandari kuna kampuni fulani DP world ikija wao watakosa kazi?
 
Huna akili kabisa.
 
Huyo amezoea upigaji ameona hapo hana mgawo, amemaliza vile vijisenti vya EPA?
 
Tangu lini Kenya amekuwa adui wa Tanganyika. Adui wa watanganyika ni uvivu wao wenyewe.
 

Aanguke mara ngapi????
Mpaka hatua hii lilipofikia suala hili, tayari limeshamwangusha, na hawezi tena kuinuka kwani tayari ameshachelewa. Hakupenda kusikiliza ushauri kutoka kwa wenzake mapema.

Mithali 29: 1
"Aonywaye mara nyingi, naye hushupaza shingo, huvunjika ghafla na hakuna dawa tena"
 
Wakati alipokuwa analiibia taifa yeye na wenzake chini ya serikali ya Kikwete, mbona hakuja kujitolea maoni?
Tibaijuka ni mtu wa ovyo sana. Huyu si ndiye aliyehongwa pesa za ESCROW halafu akajidai eti ni hela ya mboga tu? Mbona alipokuwa kwenye kundi la mafisadi hatukumsikia akiongea? Uzalendo na nchi hii huyu kautoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…