OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View attachment 2065734
Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu.
Amegusia kuhusu kilimo. Anasikitika sana kuona kilimo kinaibwa wakati hakuna mabwawa ya kutosha. Anashangaa serikali imeacha maji yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi 🤣🤣🤣🤣
Kipande hiki🙌😅😅😅😅yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi 🤣🤣🤣🤣
Elimu yetu inatusaidia kujikimu, haiwezi kutatua changamoto zetu nyingi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.Inawezekana sehemu kubwa ya nchi yetu watu wake wana uwezo mdogo sana kiakili na kufikiri kwa logic.
Pole sana mkuu.Nilikodi mashamba ya kulima iringa nikitegemea mvua...cha ajabu haijanyesha, hii ya mabwawa inamaana sana
awamu iliyopita tulishuhudia mpaka mifarakano ya kifamilia analetewa rais kwenye mikutano ya hadhara.Cheo cha Rais ni cheo cha juu kabisa kitaifa. Tusione ni jambo la tija sana yeye kwenda kukagua miradi
Kazi ya Rais ni kutengeneza dira na sera za kitaifa kuhakikisha nchi inaenda katika muelekeo sahihi kiuchumi, kijamii na siasa. Kwa mantiki hiyo Rais muda mwingi anatakiwa awe Ofisini kwake akipokea na akipitia ripoti za kiuchumi, kisiasa, kiusalama n.k huku kwa karibu akiangalia utendaji wa...www.jamiiforums.com
Hili suala la mawaziri kuzunguka mikoani mfano stendi za mabasi kukakugua tiketi lidhibitiwe kupunguza matumizi ya serikali hasa kipindi hichi ambapo kuna mjadala mkali kati ya kukopa zaidi au kuongeza tozo.Hata yule Mkuu wa Mkoa huwa anazunguka kusikiliza 'matatizo' ya Wanainchi kana kwamba hawayajui.
Hakika ni kutafuta tu score za kisiasa na posho, na akifanya hivyo lazima waalike Media.
Kumbe anasoma mada zetu humu jukwaani!.... Anashangaa serikali imeacha maji yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi 🤣🤣🤣🤣
Pole mkuu,ulikodi hekari ngp?Nilikodi mashamba ya kulima iringa nikitegemea mvua...cha ajabu haijanyesha, hii ya mabwawa inamaana sana
Kwanini mkuuInawezekana sehemu kubwa ya nchi yetu watu wake wana uwezo mdogo sana kiakili na kufikiri kwa logic.
😀😀😀njaa ndio zinawatumaAnasema labda sababu ni kupata posho tu.