Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Jambazi amekufa lakini vijizi bado vipo, hata huko digital wataiba tu braza, hawa wezi ili kuwaondoa tunahitaji katiba mpya na tume huru na shirikishi
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Mimi nilishachukua uamuzi huu mgumu tangu mwaka 2019 wakati wa lile sekeseke la wabunge na madiwani wa upinzani kuunga mkono juhudi, na pia wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, kamwe sitapoteza muda wangu kupiga kura ambayo haita heshimiwa. Bora nibaki tu nyumbani nikiangalia tv.
 
Labda kama hukumuelewa vizuri. Lakini kama ndio mawazo yake hayo Prof, ima anajitoa ufahamu makusudi ili tuje kuambiwa uko mradi mbeleni wa tume ya uchaguzi wa kura kupigwa kidigitali. Prof hajui ya Bush na Al-goore!!!?

Kuiba kura kidigitali itakuwa rahisi sana maana kuchezea mfumo wa kidigitali hahitaji gharama wala manpower kubwa. Kutumia mfumo wa kizamani kama mataifa mengine inaweza kuwa na gharama kubwa sana. Zingatia suma na nduguze kudaiwa kushindwa kulinda tanzanite hawana imani nao tena, iko hofu ya kulipiza kuchafuliwa.

Point kubwa hapo ni uchaguzi huru na haki, hapigi kura kwasababu kura yake haina thamani....yaani pia usipige matokeo lazima fulani ashinde ndio maana yake...
 
Nchi inahitaji mabadiliko ya mfumo mzima wa Uchaguzi,kila mwenye akili anajua ule wa 2020 ulikuwa uchafuzi
 
Marekani wanapiga kura kidigitali na bado wanatuhumiana wizi.Trump na Biden wanatuhumiana kuhusu hilo

Yawezekana Profesa anachomekea kupima upepo kuna watu wanajianda kuchota pesa kupitia mradi wa kigitali wa kupiga kura.Hii mitadi hewa hewa hii isiyoguda maisha ya wananchi walio wengi kuns wakwapuaji wansjipanga hapo

Labda useme tu hutaki huo mfumo wa kidigitali, lakini sio upigaji. Kwa hapa kwetu upigaji upo wazi bila hata huo mfumo.
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Ana bahati jiwe kafa angethubutu kusema kipind mzee upo mda si mrefu angeambiwa ajisalimishe central
 
Yes ni kweli kabisa lakini pia ni rahisi zaidi ku monitor kuliko haya maboksi.
Watu hawaelewi! Wanakwambia bora mabox na mabegi tu..

Hawajui kupitia server maalumu yenye firewalls za uhakika (wataalamu wapo wanaelewa haya mambo) kama itakuepo ni rahisi ku monitor kuliko mabox na mabegi ya wizi wa kura..
 
Naunga mkono hoja
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
 
Sema labda aseme kuwe na uwazi na Uhuru hata zikija digitali Kama hamna uwazi wataiba Tena kirahisi zaidi
Achana kabosa na kitu kinaitwa digital yaan computet ndio inahesabu kura apo km huna ma computer engineer utaiba wapi labda utumie ujinga kuiba wazwaz
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Aah kweli watu walikuwa wamebeba mengi vifuani mwao
 
Back
Top Bottom