Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali
Nenda bank kachezee mfumo uibe hela

Wambie wafanyakazi wa Bank na uwahakikishie watalindwa wakiaba utawalinda uone. Zitaibiwa alfu wateja watakuwa treated kama bank iliyo filisika. Maisha ya endelea sembuse uchaguzi. Hapa miaka 4 haitoshi watu wanatafuta mikakati ya mitano zaidi.
 
Prof anasema kweli kabisa
Marekani waliituhumu Urusi kwa kumdaidia Trump kuiba kura kidigitali na kumpa udhindi.

Nchi mbili duniani ndio magwiji wa kuingilia mifumo ya upigaji kura ni Urusi na Ukraine.Hao wakilipwa pesa ndefu waweza ingilia mfumo wowote wa kupiga kura popote ulipo duniani uwe wa kupiga au kuhesabu kura

Nchi nyingi zimeukimbia huo mfumo wanapenda tu wa manual ambao kura huhesabiwa manually vituoni na kubandikwa hapo hapo kituoni baadaye kujumlishwa .Hivyo mtu akiibiwa rahisi kujua aliibiwa kituo kipi

Ndio maans Tanzania utasikia tu kelele ohh tumribiwa kura ukimwambia onyesha ni kituo kipi hawezi onyesha sababu muongo.Ushahidi wote uko vituoni

Kwa hili Profesa kapota aulize wapinzani kama wanasema waliibiwa kura waorodheshe vituo walivyoibiwa
 
Bush na al gore , digital tech ilikuwa haija advance kama sasa , wala hukukuwa na social media ,ambayo ni mwiba mkali sana kwa serikali dhalimu,
Digital is the way forward sio haya maboksi ambayo watu Wanayachezea

Na ndio sababu nikasema huu ni mkakati wa mradi tume ya uchaguzi. Tuliona miradi ya staili hii kipindi kile, mashine za kusajili wapiga kura tume ya uchaguzi, Katiba Mpya, Vitambulisho vya Taifa visivyo na sahihi ili mradi uendelee ikatolewa hoja vihuhishwe viwe na sahihi, nk nk.
 
Marekani wanapiga kura kidigitali na bado wanatuhumiana wizi.Trump na Biden wanatuhumiana kuhusu hilo

Yawezekana Profesa anachomekea kupima upepo kuna watu wanajianda kuchota pesa kupitia mradi wa kigitali wa kupiga kura.Hii miradi hewa hewa hii isiyoguda maisha ya wananchi walio wengi kuns wakwapuaji wansjipanga hapo
Mtatuhumu kila mtu safari hii!!!
 
Wambie wafanyakazi wa Bank na uwahakikishie watalindwa wakiaba utawalinda uone. Zitaibiwa alfu wateja watakuwa treated kama bank iliyo filisika. Maisha ya endelea sembuse uchaguzi. Hapa miaka 4 haitoshi watu wanatafuta mikakati ya mitano zaidi.
Hoja hapa ni kwamba hakuna linaloshindikana as long limetengenezwa na mwanadam,sheria ziwekwa ili kucontrol tabia mbaya ya mwanadam.Kwa hyo hata unachofikiria ww hakiwez kuwa suluhisho.Maoni ya prof yanaweza kuwa bora kuliko mfumo tulionao sasa.
 
Professa ulikuwa bado unapiga kura tu mbona umechelewa sana kufanya huo uamuzi ambao wengine tuliufanya zamani tu. Upigaji kura waachie wenyewe washabiki wa siasa na wale wasio na uelewa.
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
The Bold Man said
 
Kuongea ukweli mtupu.

Prof Assad anajitambua vzr sana kuliko hawa akina Profedha Kabudi na wengineo walokuwa wapiga debe wa Jiwe....!!!
Even his reports from the CAG office were excellent. The 1.5 Trillion and extragant expenditure of Parliament monie by Speaker Ndugai....!! The reason behind he was fired by The late Magufuli...,..!!!
 
Mlivyozea kpora chaguzi unafikiri wastarabu wanaokufadhili wana ujinga huo

The Prof has issued trivial opinions left me wondering is he real a prof? How did he managed to get this education status?
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Apeleke upuuzi wake huko. Suala la kura ni la kidemokrasia na ni hiari. Kama haridhishwi na zoezi hilo katika Nchi hii akatufute Nchi ya kuishi yenye kupiga kura kidijitali, lakini kwa sasa utaratibu huo haupo katika Nchi hii. Yeye ni nani anyway.
 
Marekani waliituhumu Urusi kwa kumdaidia Trump kuiba kura kidigitali na kumpa udhindi.

Nchi mbili duniani ndio magwiji wa kuingilia mifumo ya upigaji kura ni Urusi na Ukraine.Hao wakilipwa pesa ndefu waweza ingilia mfumo wowote wa kupiga kura popote ulipo duniani uwe wa kupiga au kuhesabu kura

Nchi nyingi zimeukimbia huo mfumo wanapenda tu wa manual ambao kura huhesabiwa manually vituoni na kubandikwa hapo hapo kituoni baadaye kujumlishwa .Hivyo mtu akiibiwa rahisi kujua aliibiwa kituo kipi

Ndio maans Tanzania utasikia tu kelele ohh tumribiwa kura ukimwambia onyesha ni kituo kipi hawezi onyesha sababu muongo.Ushahidi wote uko vituoni

Kwa hili Profesa kapota aulize wapinzani kama wanasema waliibiwa kura waorodheshe vituo walivyoibiwa
Sio kweli
 
Huyu Prof anajitambua sana sio kama yule aliekwenda kuchukua dawa kule na dreamliner na kuinywa mbele ya camera,haikuweza hata kumponya Mwendazake
 
Back
Top Bottom