Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Twende Prof twende
 
Sijapiga kura tangu 2010
 
Huyu Prof Assad ana akili mno. Hakustahili kuzaliwa nchi ya wajinga kama Tanzania.
Marekani waliituhumu Urusi kwa kumdaidia Trump kuiba kura kidigitali na kumpa udhindi.

Nchi mbili duniani ndio magwiji wa kuingilia mifumo ya upigaji kura ni Urusi na Ukraine.Hao wakilipwa pesa ndefu waweza ingilia mfumo wowote wa kupiga kura popote ulipo duniani uwe wa kupiga au kuhesabu kura

Nchi nyingi zimeukimbia huo mfumo wanapenda tu wa manual ambao kura huhesabiwa manually vituoni na kubandikwa hapo hapo kituoni baadaye kujumlishwa .Hivyo mtu akiibiwa rahisi kujua aliibiwa kituo kipi

Ndio maans Tanzania utasikia tu kelele ohh tumribiwa kura ukimwambia onyesha ni kituo kipi hawezi onyesha sababu muongo.Ushahidi wote uko vituoni

Kwa hili Profesa kapota aulize wapinzani kama wanasema waliibiwa kura waorodheshe vituo walivyoibiwa
Certified idiot

Hv unazijua siasa za apa bongo land kwa kukuokeza tu hairuhusiw kuyangaza matokeo tofauti na ya NEC na pia hauruhusiw kuhesabu

Ukipost tu kesho unaitwa central mawakala wa upinzan hawaruhusiw kuingia vituoni wanabak CCM tu wanahesabu afu bado unaleta fyoko KMMK siend kupiga kura ng'o
 
Huko ndio watachakachua vzr
DEcentralized blockchain voting system haichakachuliki.
Decentralized Voting System using Blockchain
  • Last Updated : 24 Jun, 2020
Blockchain is a technology that is rapidly gaining momentum in era of industry 4.0. With high security and transparency provisions, it is being widely used in supply chain management systems, healthcare, payments, business, IoT, voting systems, etc.
Why do we need it?
Current voting systems like ballot box voting or electronic voting suffer from various security threats such as DDoS attacks, polling booth capturing, vote alteration and manipulation, malware attacks, etc, and also require huge amounts of paperwork, human resources, and time. This creates a sense of distrust among existing systems.
Some of the disadvantages are:
  • Long Queues during elections
  • Security Breaches like data leaks, vote tampering.
  • Lot of paperwork involved, hence less eco-friendly and time-consuming.
  • Difficult for differently-abled voters to reach polling booth.
  • Cost of expenditure on elections is high.
Solution :
Using blockchain, voting process can be made more secure, transparent, immutable, and reliable. How? Let’s take an example.
Suppose you are an eligible voter who goes to polling booth and cast vote using EVM (Electronic Voting Machine). But since it’s a circuitry after all and if someone tampers with microchip, you may never know that did your vote reach to person for whom you voted or was diverted into another candidate’s account?
Since there’s no tracing back of your vote. But, if you use blockchain- it stores everything as a transaction that will be explained soon below; and hence gives you a receipt of your vote (in a form of a transaction ID) and you can use it to ensure that your vote has been counted securely.
Now suppose a digital voting system (website/app) has been launched to digitize process and all confidential data is stored on a single admin server/machine, if someone tries to hack it or snoop over it, he/she can change candidate’s vote count- from 2 to 22! You may never know that hacker installs malware or performs clickjacking attacks to steal or negate your vote or simply attacks central server.

To avoid this, if system is integrated with blockchain- a special property called immutability protects system. Consider SQL, PHP, or any other traditional database systems. You can insert, update, or delete votes. But in a blockchain you can just insert data but cannot update or delete. Hence when you insert something, it stays there forever and no one can manipulate it- Thus name immutable ledger.
But Building a blockchain system is not enough. It should be decentralized i.e if one server goes down or something happens on a particular node, other nodes can function normally and do not have to wait for victim node’s recovery.
So a gist of advantages are listed below:
  • You can vote anytime/anywhere (During Pandemics like COVID-19 where it’s impossible to hold elections physically
  • Secure
  • Immutable
  • Faster
  • Transparent
Let’s visualize process
It is always interesting to learn things if it’s visually explained. Hence diagram given below explains how the blockchain voting works.
2020-04-22-21.png

According to above diagram, voter needs to enter his/her credentials in order to vote. All data is then encrypted and stored as a transaction. This transaction is then broadcasted to every node in network, which in turn is then verified. If network approves transaction, it is stored in a block and added to chain. Note that once a block is added into chain, it stays there forever and can’t be updated. Users can now see results and also trace back transaction if they want.
Since current voting systems don’t suffice to security needs ofmodern generation, there is a need to build a system that leverages security, convenience, and trust involved in voting process. Hence voting systems make use of Blockchain technology to add an extra layer of security and encourage people to vote from any time, anywhere without any hassle and makes voting process more cost-effective and time-saving.
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Huyu Professor Sasa nae anatafuta attention tangu Mama kuingia Madarakani ili Mama amuone kwenye Ufalme wake Mama!!
 
Huyu babu kuna kitu gani kakisahau kwenye public service,

Mbona anaruka ruka kama bisi kwenye kaango??
 
magufuli angekuwepo assad angekuwa ameshatekwa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huyu mwamba hakika ni mtu sahihi!! Pia kwanini dini ya kislam upo makini hivi?
Dini ipo makini au huyu mtu ndio yupo makini, kuna waislam wengi sana walamba miguu, hovyo, wasiojitambua na vilaza nchi hii

Kama hata Baraza la waislam linaongozwa na serikali na Mufti analindwa na kutunzwa na serikali ndio wapo makini?
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Yupo sahihi, kura za kidigitali ndo mwarobaini wa majizi ya kura kwa sababu kura za kidigitali haziwezi kubebwa kwenye begi jeusi, tuna mfano namna mwendazake alivyoangukia pua kwenye uchaguzi wa kidijitali kupata rais bora wa afrika...
 
Ccm kitakuwa chama cha mwisho kabisa duniani kukubali huu mfumo. Chama kinajua namna ya kushinda hata kiongozi wa kijiji. Hahahaa
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Huyu prof anaanza kuwa mswahili msomi huwezi toa tuhuma zisizo na uthibitisho pia sisi watanzania hatuna matatizo ya kushikiwa akili yeye aseme haendi yeye kupiga kura tena ajisemee nafsi yake tu sisi wananchi tunaotaka kuchagua viongozi tutaenda kupiga kura na demokrasia hiyo la sivyo huyu mzee anaanza kuweweseka kwa kuukosa u-CAG
 
Yupo sahihi, kura za kidigitali ndo mwarobaini wa majizi ya kura kwa sababu kura za kidigitali haziwezi kubebwa kwenye begi jeusi, tuna mfano namna mwendazake alivyoangukia pua kwenye uchaguzi wa kidijitali kupata rais bora wa afrika...
Kumbuka Marekani walitumia huo mfumo lakini bado Trump alilamika kuwa aliibiwa kura sasa sijui kama hiyo ni hoja au vp prof yeye apumzike tu aache wananchi wakachague viongozi wao
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Huyu mtu anaweza kuharibu maisha anaonyesha jinsi alivyo radical

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.

Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.

Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Huyu ni Ndulelele au utopolooo
 
Back
Top Bottom