Labda kama hukumuelewa vizuri. Lakini kama ndio mawazo yake hayo Prof, ima anajitoa ufahamu makusudi ili tuje kuambiwa uko mradi mbeleni wa tume ya uchaguzi wa kura kupigwa kidigitali. Prof hajui ya Bush na Al-goore?
Kuiba kura kidigitali itakuwa rahisi sana maana kuchezea mfumo wa kidigitali hahitaji gharama wala manpower kubwa. Kutumia mfumo wa kizamani kama mataifa mengine inaweza kuwa na gharama kubwa sana. Zingatia suma na nduguze kudaiwa kushindwa kulinda tanzanite hawana imani nao tena, iko hofu ya kulipiza kuchafuliwa.
Mbona hakukuwa na mabadiliko kabla yake?
Yalifaa kusemwa toka ujana maana hayajaanza leo [emoji753]
Shetani akizeeka anakuwa Malaika Kuna siku Maela na Kaijage watasema hivi na tutawashangilia[emoji8]
Kumbuka JK ndo alikuwa Mwenyekiti mda ule na alikuwana uwezo wa kumaliza mchakato wote, maana alikuwa na Dora pia alikuwa anamiliki CCM. Swali kwa nini alikwepa kumalizia katiba. Yeye ndo anajua yupo tumuulize na ulivyosema CCM ndo waliharibu atatakuwa anajua.Je. Unakumbuka Msee wa Msoga a.k.a JK alianzisha mchakato wa Katiba Mpya CCM haohao wakauvuruga...??
Jiwe alipoingia akakataa kuhuisha mchakato akidai swala la Katiba Mpya ATI HALIMO KWENE ILANI YA CCM....Nonsense!!!
Mwenda zake alipaswa kuulizwa wakti Bunge Maalumu la Katiba linakaa, JK alikuwa akitekeleza Ilani ya Chama gani???
Aanzishe na yeye chama Cha siasa ili akishinda aje afanye anachofikiri ni sahihiAliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Kwa kuwa kwenye uislamu,tunaamini na kuona dunia ni sehemu ya kupita tu,hatutaishi milele,kwa hiyo lazima tuishi vizuri,tutende haki kwa yeyote,hatuwezi hua tutaandika lini,wapi,na saa ngapi,na Nani atakusaidia kwenye kukuzika.Huyu mwamba hakika ni mtu sahihi!! Pia kwanini dini ya kislam upo makini hivi?
Prof anachanganya "kujisemea yeye" na kuwasemea watanzania: hama moral authority ya kutusemea- aendelee kukisemea tuuuuuAliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi
Huyu mwamba wakati huo Tulimuita MJ Assad pale udsm akiwa kijana mdogo sanaCAG Mstaafu Prof Mussa Assad amesema hatapiga kura nchi hii hadi tutakapomudu kupiga kura Kidigitali na kuiona mubashara kura Yako inaenda kwa mlengwa
Assad amesema nchi hii tunapiga kura lakini hatuchaguani
Eid al Adh'haa Njema!
Umeenda kula Eid kwa Profesa