TANZIA Prof. Cosmas Mligo wa UDSM afariki dunia

TANZIA Prof. Cosmas Mligo wa UDSM afariki dunia

Nawaza tu, nikifa Leo nitakua boonge la looser maana nimejinyima sana ktk maisha yangu ili kutengeneza the so called "FUTURE" kumbe muda wowote mtu unakufa na unakua hujala maisha effectively!
Maisha tangu lini yakaliwa? Enjoy the journey, not the destination; because death is your destination
 
ukienda mbavu zimebana unapona ndani ya masaa mawili ! nenda hapo utaona palivo na migari ya V8 watu wanaponea
Wanawapa supu ya Kwato za Mbuzi yenye Malimao na pilpili nyingi,baada hapo Mgonjwa unaanza kupiga chafya kwa rahaa zako!!
 
Back
Top Bottom