Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

Ninachokiona hapo ni kuwa tumeruhusiwa kijadiliana tuu , lkn Hakuna Ubaya kwa Kiongozi kama hawa Kupewa Zawadi wamefanya Mengi na Wamekumbana na Mengi wakati wakitimiza majukumu yao ktk Uwongozi.
 
Watu kwa kukosoa😆 hiyo benzi imenunuliwa wapi? Maana kuna zililetwa 'zawadi'..
 
Hii zawadi imetolewa kwa moyo wa kupenda kutoka kwenye mshahara wa mama
 
Hapo ndio ujue ile mentality ya viongozi toka pwani kulinganisha na wa bara kama mwandishi mmoja alivyochambua majuzi 🙄🙄
Nahisi hapa Viongozi wa Kiislam ndio wanashida.

Rais Mwinyi
1.Mtoto-Rais wa Zanzibar
2.Mtoto wa mwingine-Mbunge
3.Mkamwana wake-Mbunge

Kikwete
1.Mke wake -Mbunge
2.Mwanae Ridhiwan-Mbunge

Samia.
1.Mwanae -Mbunge
Na hapo bado alikuwa Makamu tu,sasa hivi yeye ndio ameshukila mpini.

Ma Rais wetu Wakristo ambao wote ni marehemu Mkapa,Magufuli na Nyerere Familia zao! zitajijua.
 
Suala la dini halihusiani please. Tupo Waislamu ambao tunapinga hili na tupo Wakristo ambao tunapinga hili kwa Marais waliopita.
 
Suala la dini halihusiani please. Tupo Waislamu ambao tunapinga hili na tupo
 
mama ajiudhuru hata maajabu yeyote
Uko bongo si mushazowea ata wachumba zenu munawapa magari ya kifahari kwenye birthday zao kwanini inakuwa nongwa kwa mama samia kumpa mzee Mkuranga?
 
Mbona hiyo zawadi ni ndogo sana ukilinganisha na ile zawadi ya Nyumba iliyotolewa na Mwendazake.?

Wacha maisha yaendelee
Nyumba ni zawadi toka kwa watanzania maana iko kwa mujibu wa sheria
 
Ninachokiona hapo ni kuwa tumeruhusiwa kijadiliana tuu , lkn Hakuna Ubaya kwa Kiongozi kama hawa Kupewa Zawadi wamefanya Mengi na Wamekumbana na Mengi wakati wakitimiza majukumu yao ktk Uwongozi.
Sasa unampa mtu kiza kimeshaingia ni kuchezea pesa zetu
 
Hili la Mzee Mwinyi kupewa zawadi ya gari aina ya Benz, eti tu kwa sababu ya kuonewa huruma ya tabu anayoipata wakati wa kupanda na kushuka halijakaa vizuri. Huruma ya namna hii ilipaswa kuwa ya kifamilia zaidi wala si kupitia kodi za wananchi wengi wao wakiwa ni maskini wa kutupwa.

Wote tu binadamu na tunafanya makosa. Ila pia tuna nafasi ya kujifunza kupitia makosa yetu. Rais wetu ni mtu mwema sana na mwenye upendo mkubwa, lakini jambo hili lisimfanye akapitiliza hata kwa kufanya mambo binafsi yenye kuingiliana na majukumu makubwa aliyokabidhiwa kikatiba.
 
Huyu Shivji mbona aliwasaliti wazanzibar bunge la katiba alipiga kura serikali 2 wakati vitabu vyake vyote alindatika mfumo wa serikali 3 ndio bora zaidi?
 
Ninachokiona hapo ni kuwa tumeruhusiwa kijadiliana tuu , lkn Hakuna Ubaya kwa Kiongozi kama hawa Kupewa Zawadi wamefanya Mengi na Wamekumbana na Mengi wakati wakitimiza majukumu yao ktk Uwongozi.
Mkuu kiongozi bila mwananchi ni bure. Hiyo benzi itahudumiwa na kodi yako tu kwa maendeleo ya familia yake . Bora hiyo pesa wangesomeshwa watoto maskini vyuoni au shule za kayumba ingeleta impact kubwa sana kwenye jamii na nchi yetu kwa ujumla.
 
Uko bongo si mushazowea ata wachumba zenu munawapa magari ya kifahari kwenye birthday zao kwanini imekubwa nongwa kwa mama samia kumpa mzee wa Mkuranga?
 
Nenda kawaue kikwete na mwinyi.

Ufurahi na roho yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…