Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Haya yote hatuyataki. Ya mwendazake au mbakizake.Mbona hiyo zawadi ni ndogo sana ukilinganisha na ile zawadi ya Nyumba iliyotolewa na Mwendazake.?
Wacha maisha yaendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya yote hatuyataki. Ya mwendazake au mbakizake.Mbona hiyo zawadi ni ndogo sana ukilinganisha na ile zawadi ya Nyumba iliyotolewa na Mwendazake.?
Wacha maisha yaendelee
"Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo."
-- Issa Shivji kupitia Twitter
Sijui kwa nini wazo la Vijana kuwa na Baraza/Jumuia yao rasmi nje ya vyama vya siasa linapuuzwa hasa na serikali.
Vijana hawawezi kuwa wamoja kupitia Jumuia za vyama kwa kuwa Jumuia hizi zinawagawa kuliko kuwaunganisha!
Magufuli alimjengea KIKWETE nyumba.
Magufuli alimjengea MWINYI nyumba.
Rais Suluhu amemnunulia MWINYI Gari la Anasa, aina ya Benz.
Hivi Marais hao wastaafu wenye kulipwa nusu ya Mishahara ya Rais aliyeko madarakani Wanashida hizo?
Hawamudu gharama?
Mr mkiki
Nahisi hapa Viongozi wa Kiislam ndio wanashida.Hapo ndio ujue ile mentality ya viongozi toka pwani kulinganisha na wa bara kama mwandishi mmoja alivyochambua majuzi 🙄🙄
Suala la dini halihusiani please. Tupo Waislamu ambao tunapinga hili na tupo Wakristo ambao tunapinga hili kwa Marais waliopita.Nahisi hapa Viongozi wa Kiislam ndio wanashida.
Rais Mwinyi
1.Mtoto-Rais wa Zanzibar
2.Mtoto wa mwingine-Mbunge
3.Mkamwana wake-Mbunge
Kikwete
1.Mke wake -Mbunge
2.Mwanae Ridhiwan-Mbunge
Samia.
1.Mwanae -Mbunge
Na hapo bado alikuwa Makamu tu,sasa hivi yeye ndio ameshukila mpini.
Ma Rais wetu Wakristo ambao wote ni marehemu Mkapa,Magufuli na Nyerere Familia zao! zitajijua.
Suala la dini halihusiani please. Tupo Waislamu ambao tunapinga hili na tupoNahisi hapa Viongozi wa Kiislam ndio wanashida.
Rais Mwinyi
1.Mtoto-Rais wa Zanzibar
2.Mtoto wa mwingine-Mbunge
3.Mkamwana wake-Mbunge
Kikwete
1.Mke wake -Mbunge
2.Mwanae Ridhiwan-Mbunge
Samia.
1.Mwanae -Mbunge
Na hapo bado alikuwa Makamu tu,sasa hivi yeye ndio ameshukila mpini.
Ma Rais wetu Wakristo ambao wote ni marehemu Mkapa,Magufuli na Nyerere Familia zao! zitajijua.
kwa hiyo samia ametengeneza hiyo benz?Watu kwa kukosoa😆 hiyo benzi imenunuliwa wapi? Maana kuna zililetwa 'zawadi'..
Mujue kwanza SHS Ni nani.Yote haya si sahihi. Pesa za Wananchi zina utaratibu wake wa kutumika. Watanzania hatujielewi kabisa. Zile pesa hazitoi kwenye mshahara wake. Ni kodi zetu.
mama ajiudhuru hata maajabu yeyote
Uko bongo si mushazowea ata wachumba zenu munawapa magari ya kifahari kwenye birthday zao kwanini inakuwa nongwa kwa mama samia kumpa mzee Mkuranga?Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.
Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.
Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji
View attachment 1778664
Nyumba ni zawadi toka kwa watanzania maana iko kwa mujibu wa sheriaMbona hiyo zawadi ni ndogo sana ukilinganisha na ile zawadi ya Nyumba iliyotolewa na Mwendazake.?
Wacha maisha yaendelee
Sasa unampa mtu kiza kimeshaingia ni kuchezea pesa zetuNinachokiona hapo ni kuwa tumeruhusiwa kijadiliana tuu , lkn Hakuna Ubaya kwa Kiongozi kama hawa Kupewa Zawadi wamefanya Mengi na Wamekumbana na Mengi wakati wakitimiza majukumu yao ktk Uwongozi.
Wa bara wengi ni washamba.Hapo ndio ujue ile mentality ya viongozi toka pwani kulinganisha na wa bara kama mwandishi mmoja alivyochambua majuzi 🙄🙄
Huyu Shivji mbona aliwasaliti wazanzibar bunge la katiba alipiga kura serikali 2 wakati vitabu vyake vyote alindatika mfumo wa serikali 3 ndio bora zaidi?Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.
Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.
Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji
View attachment 1778664
Mkuu kiongozi bila mwananchi ni bure. Hiyo benzi itahudumiwa na kodi yako tu kwa maendeleo ya familia yake . Bora hiyo pesa wangesomeshwa watoto maskini vyuoni au shule za kayumba ingeleta impact kubwa sana kwenye jamii na nchi yetu kwa ujumla.Ninachokiona hapo ni kuwa tumeruhusiwa kijadiliana tuu , lkn Hakuna Ubaya kwa Kiongozi kama hawa Kupewa Zawadi wamefanya Mengi na Wamekumbana na Mengi wakati wakitimiza majukumu yao ktk Uwongozi.
Uko bongo si mushazowea ata wachumba zenu munawapa magari ya kifahari kwenye birthday zao kwanini imekubwa nongwa kwa mama samia kumpa mzee wa Mkuranga?Hili la Mzee Mwinyi kupewa zawadi ya gari aina ya Benz, eti tu kwa sababu ya kuonewa huruma ya tabu anayoipata wakati wa kupanda na kushuka halijakaa vizuri. Huruma ya namna hii ilipaswa kuwa ya kifamilia zaidi wala si kupitia kodi za wananchi wengi wao wakiwa ni maskini wa kutupwa.
Wote tu binadamu na tunafanya makosa. Ila pia tuna nafasi ya kujifunza kupitia makosa yetu. Rais wetu ni mtu mwema sana na mwenye upendo mkubwa, lakini jambo hili lisimfanye akapitiliza hata kwa kufanya mambo binafsi yenye kuingiliana na majukumu makubwa aliyokabidhiwa kikatiba.
Nenda kawaue kikwete na mwinyi.Nahisi hapa Viongozi wa Kiislam ndio wanashida.
Rais Mwinyi
1.Mtoto-Rais wa Zanzibar
2.Mtoto wa mwingine-Mbunge
3.Mkamwana wake-Mbunge
Kikwete
1.Mke wake -Mbunge
2.Mwanae Ridhiwan-Mbunge
Samia.
1.Mwanae -Mbunge
Na hapo bado alikuwa Makamu tu,sasa hivi yeye ndio ameshukila mpini.
Ma Rais wetu Wakristo ambao wote ni marehemu Mkapa,Magufuli na Nyerere Familia zao! zitajijua.