Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

Mujue kwanza SHS Ni nani.
Ni mtoto wa mwinyi kwa yule mama mwalimu ila hawakuishi pamoja

Daaa, Mkuu hebu funguka kidogo maana hapa umekatisha mapema.
 
Hakuna
Ninachokiona hapo ni kuwa tumeruhusiwa kijadiliana tuu , lkn Hakuna Ubaya kwa Kiongozi kama hawa Kupewa Zawadi wamefanya Mengi na Wamekumbana na Mengi wakati wakitimiza majukumu yao ktk Uwongozi.
Hakuna kitu kama hicho,hawajalazimishwa kuwa viongozi,na wakishindwaga uchaguzi huiba HADI kura.
Wana Mali nyingi Sana hawa,wanalipwa na serikali maisha yao yote.
Wanalipwa HADI walinzi,
Magufuli kawajengea Wastaafu Marais wote Mahekalu.
Huku Wastaafu wengine wanasota.
 
Uko bongo si mushazowea ata wachumba zenu munawapa magari ya kifahari kwenye birthday zao kwanini imekubwa nongwa kwa mama samia kumpa mzee wa Mkuranga?

Wanawapa hayo magari kwa fedha za umma?
 
Halafu madarasa tunachangishwa. hiyo gari ni sawa na madarasa mangapi
 
Naanza kuamini kuwa sehemu sahihi ya mwanamke ni jikoni na chumbani tu
 
Kibaya zaidi kuliko hilo tukio la kupewa gari ni narrative iliyofuata, hakuna ushahidi wowote ilo Benz linathamani ya tsh 450 million.

Mtu tu kaanzisha uzi wake, kalipa gari thamani yake. Watu waliopitia thread wanaamini bei iliyowekwa without supporting evidence zozote ndio sahihi.

Ili ni tatizo kubwa sana Tanzania, uwezi kuwa gullible society kiasi hiki; watu kama hawa ni rahisi sana kumeza propaganda ambazo ni anti government and a serious national security concern nchi za wenzetu.
 
Alicho kifanya Rais ni kumbadilishia mzee Mwinyi gari linaloendana na hali yake kwa sasa, kwa maelezo ya kwamba amemuona akipata tabu wakati wakupanda na kushuka kwenye gari la mwanzo ambalo pia alipewa na serikali kwa maana ya jukumu la kuwatunza viongozi wastaafu. Kwa jinsi tulivyo zoea kulalamika ingetokea siku mzee Mwinyi angeanguka wakati wa kupanda/kushuka kwenye gari la zamani ambalo lipo juu, tungekuja kumlaumu Rais kwamba serikali haijali wazee wastaafu. Hata mwl Nyerere kama angekuwa hai naamini serikali ingempatia mahitaji yanayoendana na umri na nguvu alizo nazo kwa wakati husika.
 
Tulisema, Uzanzibar na ubara unatamalaki. Mkabishia. Wameanza na mapato ya muungano kwa asilimia na leo benzi, keshokutwa utasikia arume kapewa ndege.
 
Hata lingekuwa na thamani ya milioni 5, si haki kumpa huyo anayepokea posho 80% ya mshahara wa rais wakati wafanyakazi wakinyimwa nyongeza kwa visingizio vya ukosefu wa fedha.

Vi wapi vipaumbele vya nchi?!
 
Wanawapa hayo magari kwa fedha za umma?
Kama kodi zenu zinakuumizeni mbona hajawahi kuwahurumia Wazanzibar, TRA miaka yote wanakusanya kodi Zanzibar zinatumika kwa maendeleo ya bara tu? Mwacheni mama ndio kwanza anatimiza mwezi - mali ya babu jinga huliwa ni wajinga
 
Kaanza kuongea Hehe
Alikuwa wapi Prof mbona
Alikuwa kimya

Ova
 
Nyerere watoto zake walipewa nyadhifa ila wao tu ndiyo hawaeleweki

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…