Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Ni kweli chakula kinategemeana na kazi na umri wa muhusika. Kwa kazi yake ya kukaa ambayo hata jasho halitoki aendelee kula hivyo. Na wenye shughuli zinazohitaji nguvu wataendelea kupata Milo sawia
Mkuu huyo hakuna anachokula anashinda na njaa tuu chakula pia ni kinga ya magonjwa mtu dhaifu kuugua ni rahisi sana aseme watu wafanye mazoezi na wapunguze kula hovyo hovyo bila mpangilio hapo sawa ila sio kusema tunywe chai kavu ma maji asiee...
 
Ni cardiologist. Lishe na malishe utakayo hayana nafasi kwa huyu professor. Anaunganisha hayo malishe yenu na makuku yenu kuonyesha yanaathiri vipi mfumo mzima w mwili wetu. Kwako kuelew it's just too much. Tusiwe personal lkn natamani uniambie una shule gani kumkosoa Janabi. Wala hata hakusikilizi labda kama ni mwanasiasa maana ndio nyie wenye kila kitu
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=8yrqRUodEsw
 
What? Kaa kimya. Huyu ni mtaalamu niliyeishi naye Marekani! Amefanya makubwa Marekani. Hili ndilo ttz letu wabongo huna akili yoyote unamkosoa Pro. Jababi! Acha. Ndio maana wasomi wanaondoka. Wanabaki mazombie kama wewe. Just stop it!
We hujitambui vizuri kwa hayo uliyoandika. Prof Janabi amebaki kutoa vitisho kwenye milo bila ya kusema madhara yake na mbadala. Amebaki kusema kula chapati moja asubuhi huku akijua kuwa watanzania wengi wanaishi kwa kazi za suluba kwa zaidi ya masaa 10 kwa siku.
 
Mkuu unafananisha na Japan kwenye mambo ya lishe tu wakati kushusha na kupakia kontena tu mmewapa DP huko Japan nao wamewapa DP World.
Prof hayupo sawa bhana kushauri watu wanywe maji na chai kavu badala ya kusisitiza wafanye mazoezi na kutokula chakula hovyo hovyo..
 
Wewe ni mmoja wao. Basi kula chapati 20.
 
Ni DP world sio word.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…