Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu huyo hakuna anachokula anashinda na njaa tuu chakula pia ni kinga ya magonjwa mtu dhaifu kuugua ni rahisi sana aseme watu wafanye mazoezi na wapunguze kula hovyo hovyo bila mpangilio hapo sawa ila sio kusema tunywe chai kavu ma maji asiee...Ni kweli chakula kinategemeana na kazi na umri wa muhusika. Kwa kazi yake ya kukaa ambayo hata jasho halitoki aendelee kula hivyo. Na wenye shughuli zinazohitaji nguvu wataendelea kupata Milo sawia