Jagwanana
Senior Member
- Jul 3, 2024
- 130
- 224
Ngoja nipumzike naongea na lipumbavuNi DP world sio word.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nipumzike naongea na lipumbavuNi DP world sio word.
Atakua sawa tu yote ni misimu katika maisha
Mtu mwenyewe anayekushauri unamuona kabisa afya yake mgogoro. Endelea kushindia maji glasi mojaWewe ni mmoja wao. Basi kula chapati 20.
Ngoja nipumzike naongea na lipuw
Shule muhimu sana!Mtu mwenyewe anayekushauri unamuona kabisa afya yake mgogoro. Endelea kushindia maji glasi moja
wewe sema ni mlafi unapenda kula.Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.
View attachment 3074304
Wahuni tu hao,spelling mambo ya simu..Ni DP world sio word.
Kama hiyo ndiyo tafsiri ya shule, waliokusomesha walikosea sana.Shule muhimu sana!
Ngoja nipumzike. Nabishana na darasa la 7 hapa. Ni muda w kulala kwa leo. Have a good evening!Kama hiyo ndiyo tafsiri ya shule, waliokusomesha walikosea sana.
Mjomba angu alikua anasema bora achinje mbuzi wake ale kuliko auze kusomesha mtu mdumavu..Kama hiyo ndiyo tafsiri ya shule, waliokusomesha walikosea sana.
Sema tu tunatumia ID fake, tungeweka elimu zetu humu, ungetulia ukalala tu. Wengine lishe ndiyo fani yetu, tena kwa level ya juu kabisa. Anachokifanya Prof Janabi ni kosa kubwa sana kitaaluma. Serikali imshauri atulie kwenye fani yake.Ngoja nipumzike. Nabishana na darasa la 7 hapa. Ni muda w kulala kwa leo. Have a good evening!
Hakika mkuu.Mjomba angu alikua anasema bora achinje mbuzi wake ale kuliko auze kusomesha mtu mdumavu..
BolognaSema tu tunatumia ID fake, tungeweka elimu zetu humu, ungetulia ukalala tu. Wengine lishe ndiyo fani yetu, tena kwa level ya juu kabisa. Anachokifanya Prof Janabi ni kosa kubwa sana kitaaluma. Serikali imshauri atulie kwenye fani yake.
Kupambana naye kivipi?watu tumeamua kumpuuza. Kuna mapambano tena hapo?hana mfano bora wa afya kumshawishi mtu suala la afya njema na siha.amejichokea.....Naachia wajanja butu wa elimu. Pambaneni na Prof janabi kama mtaweza!
Kabisa.yaani anataka wote tuwe dhaifu namna hiyo ndo afya? WendawazimuMtu mwenyewe anayekushauri unamuona kabisa afya yake mgogoro. Endelea kushindia maji glasi moja
Kufunga kupo na tunafunga miaka na miaka. Na tunajua faida za kufunga.ila hatuishi tumefunga. Tumbo ni kwa ajili ya chakula hatubebei mawe tumboni.wewe sema ni mlafi unapenda kula.
tumbo linahitaji kupumzishwa kuna aina ya ufungaji unaitwa autophagy. jifunze ujielimishe.
Hyo ni lazima..sasa huo mchanganyiko ndo unaenda kugandisha ki friza cha chini unakua na kitumbo kama cha mbuzi alieshiba...😃😃😃na koka baridi jui😆
Wewe sasa utakuwa na elimu gani?maana hata hujui mlo kamili una sifa gani. Hiyo chai ina virutubisho gani we bwege?hivi hujui hata maprofesa wana changamoto ya afya ya akili?wengi tu walipata ukichaa.Ngoja nipumzike. Nabishana na darasa la 7 hapa. Ni muda w kulala kwa leo. Have a good evening!
Nimtafutie nini?Mtafutie
Ndo anataka wanaume wawe hivyo. Ana akili kweli huyu?Nina hakika hata akibembea kwenye ndimbo nut haistuki hata kidogo, huyo size 12 ya ukikaza vizuri afungui abadani 😂