Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.

View attachment 3074304
wewe sema ni mlafi unapenda kula.
tumbo linahitaji kupumzishwa kuna aina ya ufungaji unaitwa autophagy. jifunze ujielimishe.
 
Ngoja nipumzike. Nabishana na darasa la 7 hapa. Ni muda w kulala kwa leo. Have a good evening!
Sema tu tunatumia ID fake, tungeweka elimu zetu humu, ungetulia ukalala tu. Wengine lishe ndiyo fani yetu, tena kwa level ya juu kabisa. Anachokifanya Prof Janabi ni kosa kubwa sana kitaaluma. Serikali imshauri atulie kwenye fani yake.
 
Bologna
 
wewe sema ni mlafi unapenda kula.
tumbo linahitaji kupumzishwa kuna aina ya ufungaji unaitwa autophagy. jifunze ujielimishe.
Kufunga kupo na tunafunga miaka na miaka. Na tunajua faida za kufunga.ila hatuishi tumefunga. Tumbo ni kwa ajili ya chakula hatubebei mawe tumboni.
 
Hawa madaktari wawe wanatoa ushauri wa lishe kulingana na majukumu ya mtu.

Kuna ushauri nilipewa mimi kulingana na mwili wangu, ikawa shida tena.
Kila wakati mwili unasisimuka tu.
Kila nikikaa na mke wangu ilikuwa ni shida.
Kuna wakati mkeo anaweza kutafsiri kuwa unatumia madawa ya kuongeza nguvu.
 
Ngoja nipumzike. Nabishana na darasa la 7 hapa. Ni muda w kulala kwa leo. Have a good evening!
Wewe sasa utakuwa na elimu gani?maana hata hujui mlo kamili una sifa gani. Hiyo chai ina virutubisho gani we bwege?hivi hujui hata maprofesa wana changamoto ya afya ya akili?wengi tu walipata ukichaa.
 
Back
Top Bottom