The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Nikupe namba ya muuza majeneza?
Nakufa kesho.umefurahi?
Ishi wewe maisha marefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakufa kesho.umefurahi?
Ishi wewe maisha marefu
Ngoja nikupe mfano rahisi ndugu,Huyo mgonjwa wa figo anawekewa bure?baada ya mimi kutoa figo?kama anatoa hela kwanini kiasi kadhaa kisiende kwa ndugu zangu?ikiwa huyo mgonjwa anawekewa figo na hela.
Ulifanya vizuri sana kuchagua jina la hiyo ID yako mkuu.Kwanini hii donation isiwe kwa wote?
Marehemu na madaktari?
Kwani Marehemu hana ndugu?
Kwahiyo madaktari hawalipwi mishahara kutokana na kodi zingine zinazolipwa na wananchi hadi wategemee pesa zinazotokana na kupandikiza figo ama huduma yoyote itolewayo hospitali?Duniani kote huduma zinalipiwa. Sijui wapi pagumu kuelewa.
Mtu amepewa matibabu amepona au kufariki nani analipa bill yake?
Watoa huduma, vifaa tiba havilipiwi kwa maombi.
Sawa.katoe bure.Ulifanya vizuri sana kuchagua jina la hiyo ID yako mkuu.
Acha roho mbaya MkuuNAOMBA NIZIKWE NA FIGO ZANGU.
Sio roho mbaya.ujue hapa kwetu.hakuna mahusiano mazuri kati ya hospital na mgonjwa .wao wenyewe pesa mbele kama tai.utapata wapi moyo wa ndugu yako atolewe figo bure?Acha roho mbaya Mkuu
Hapa nimekuelewa....kwa hiyo ni jino kwa jino?Usirahisishe vitu jombaa.sio rahisi kama unavyodhani.pale muhimbili kila kitu hela mpaka kuna wakati wanazuia maiti kisa ndugu hawana hela za matibabu. Leo uwambie ndugu yao achangie figo bure.wewe utaweza?
Na hawaezi kukutoa bila idhini yako ukiwa hai au izini ya nduguKawaida mtu mwenyewe kabla hajafa anasema **** kuwa viungo vyake vitumike kuokoa maisha ya watu wengine. Na hilo linawekwa kisheria. Uhuni unaweza kufanyika lakini si rahisi.
Ndo maana yake.pale muhimbili ndugu yako akifa huna hela maiti inaweza kuzuiwa.alafu leo uje umwambie mtu ndgu yako achangie figo bure bure hyyu mtu atakuelewa?Hapa nimekuelewa....kwa hiyo ni jino kwa jino?
Wanachukua kwa kisiri siri ila wewe umejua!Mbona siku nyingi walikuwa wanachukua kwa kisirisiri watu waliopata ajali n.k
Kwahiyo madaktari hawalipwi mishahara kutokana na kodi zingine zinazolipwa na wananchi hadi wategemee pesa zinazotokana na kupandikiza figo ama huduma yoyote itolewayo hospitali?
Kazi ya daktari ni kutibu/ kumhudumia mgonjwa na mshahra wake unalipwa na serikali kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato.
Vipi huduma za matibabu zikowa bure maana yake hawatalipwa kwasababu wanafanya bure?
Anachukua bure hizo figo za marehemu,atoe pesaOrgan donation ni jambo jema na Janabi ana wazo zuri ila kalileta kwenye jamii ya watu ambao bado wako stone age. He's up for an uphill battle.
Hospitali utalipia huduma. Hili jambo ni zuri unless mtu unakuwa mchoyo hata katika mauti.Sawa una fanya donation kwa kumnufaisha nani?wakati hospital hawaweki bure hyo figo?
Ni donation. Si lazima. Unaweza acha maagizo figo zako zisiguswe.Kwanini hii donation isiwe kwa wote?
Marehemu na madaktari?
Kwani Marehemu hana ndugu?
Upande wa damu usiongelee hilo.Organs haziuzwi kama ambavyo damu haiuzwi. Google is free you know.
Shida yenu mnataka huduma itolewe bure, madr walipwe kwa maombi na vifaa tiba vitolewe bure.